JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Kaka kamuoa dada!
Wadau,
Hii nimekutana nayo Julius Nyerere International Airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambaye ana kijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.
Kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi,m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa...