OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Oa dada yako wa damu na.hakika ndugu zake haitakuwa taaaabu maana ndio hao hao ndugu zako
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
mi napenda maana hii nyumba ni kubwa mno ( mansion) panaboa kukaa pekeyako.
wewe lazima usipende sababu unakaa chumba kimoja
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu, Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Duh!..shibe ya maharage mbaya..sana
Wewe utakua ni Mchoyo MbinafsiUna roho mbayaUna roho ya koroshoRoho ya kwanini Roho yako inakutoka ukiona ndugu wa mkeo wanakula Ungekuwa na uwezo ungewanyima hata oksijenAngalia usijekuwa mchawi huko mbeleni Bye the way umeoa lini?