Natafuta mpenzi

Oct 12, 2013
95
70
.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi:
sifa;
1.awe na kazi inayotambulika.
2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee.
3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi
4.awe msafi wa ndani na nje.
5.awe msomi kiasi na anayejielewa kimaisha.
6.anayependelea kumcha mungu.
7.awe mpenzi xa kuvalia ti-na jeans+raba ila si lazima
8.awe na mapenzi ya dhati.
9.awe na heshima na mwenye kuheshimu mawazo ya mwenziwe.
10.asiwe mlevi.
Mawasiliano ani PM Au on tweet= Kababyto@yahoo.com
 
wakyagara wakinyora

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
735
0

sifa zote ninazo ila nimeoa.uko tayari
 
ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
625
500
.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi:
sifa;
1.awe na kazi inayotambulika.
2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee.
3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi
4.awe msafi wa ndani na nje.
5.awe msomi kiasi na anayejielewa kimaisha.
6.anayependelea kumcha mungu.
7.awe mpenzi xa kuvalia ti-na jeans+raba ila si lazima
8.awe na mapenzi ya dhati.
9.awe na heshima na mwenye kuheshimu mawazo ya mwenziwe.
10.asiwe mlevi.
Mawasiliano ani PM Au on tweet= Kababyto@yahoo.com

hapo kwenye red ndo sifa ambayo sina!! ila wend huwa hampo serious coz hata mtu akiwa na sifa zote bado anazinguliwa tu!!
 
BabuD

Member
Oct 20, 2013
6
0
Ukichunguza kwa undani mtu anayetoa masharti katika kufanikisha azma yake ya moyoni huwa hana sifa za kuolewa au kuoa. haitotokea mke na mume wakawa na sifa sawa,hivyo balance of nature itakuja pale tu upande mmoja atakapokuwa na mapungufu na mwingine uwe umekamilika.:sad:
 
Zipapa zipapa

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
410
250
.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi:
sifa;
1.awe na kazi inayotambulika.
2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee.
3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi
4.awe msafi wa ndani na nje.
5.awe msomi kiasi na anayejielewa kimaisha.
6.anayependelea kumcha mungu.
7.awe mpenzi xa kuvalia ti-na jeans+raba ila si lazima
8.awe na mapenzi ya dhati.
9.awe na heshima na mwenye kuheshimu mawazo ya mwenziwe.
10.asiwe mlevi.
Mawasiliano ani PM Au on tweet= Kababyto@yahoo.com
hiki kigezo namba tatu kinaonyesha ulivyo mkuu kwa hiyo hutaki kuchekwa. Kigezo namba 5 sijajua kama unataka kumuajiri mkuu na kigezo namba 7 kumbe unatafuta wa kutoka naye out
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom