Recent content by Wakwetu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Zembwela acha upotoshaji...!

    Unafikiri hajui. Anataka nafasi ya Salva Rweyemamu. Hujui uchaguzi umekaribia mkuu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Fanya marekebisho ongo iwe hongo. Unatoka povu hadi unakosea kuandika.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Kwani ni uongo. Si ukweli, waziri aliyewapa chakula si alishakubali hilo. Na hao sio wajumbe wa Mungu kama unavyosema, ni maaskofu tu. Baadhi yao wanafanya biashara ya madawa ya kulevya kama ambavyo mwenyekiti wa ccm alivyosema na wao wakakubali na ndio ukweli ulivyo. Kwako wewe ukweli ni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Joram Kihango vs Willy Gamba

    Naenda kuianza leo jioni, na vitabu vyote alivyotaja hapo juu ninavyo naanza kuvisoma
  5. W

    JamiiForums Tanzania Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Dr. wa ukweli, mwalimu huyo, namkubali. Ambao hawajui kiingereza tufanyeje
  6. W

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Hivi wewe unaelewa mambo au unakurupuka tu. Zito kavuliwa gyro, nafasi za uongozi alizokuwa nazo. Uanachama bado hivyo hauwezi kuongelea uanachama hapa. Muda utafika
  7. W

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Maamuzi mazuri Kama ni kweli. Mimi sina chama ila kwa kumtoa zito CDM ni ushindi mkubwa. Tena sana. Msambaa mmoja havunji soko bwana, aende tu Lumumba.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Kwa kweli ni bonge la shule. J4 kitu ugali nyama, alhanisi Wali, pia kulikuwa na makande, full burudani. Ticha Sendoro mzee wa sofa, Mr makundi, ninja etc. Majengo sec, hongereni, ni bonge la shule
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Umenikumbusha mbali sana, huu usemi mzee wa Subaru alikuwa anaupenda sana. Bro Tom alikuwa mpole sana. Haya maneno anayasema huku unalamba viboko
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Majengo secondary Moshi

    Heeeeeee! Nani kakuambia, majengo Acha kabisa
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hizi MOVIE wakuu, msaada please...

    Wrong turn ninayo uko wapi nikupe bureeee, niko musoma
  12. W

    JamiiForums Tanzania Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu

    Hivi jeshi nalo sikuhizi ni sehemu ya FFU? Toka lini wakawa wana majukumu ya kutuliza fujo? Sasa wameingizwa kwenye siasa. Wajane wa hao waliofariki wanapata manufaa gani? Wana lipi la kujivunia kwa vifo vya wapenzi, wazazi, walezi wao? Au ndio wahusika wametulia maofisini, wanaokufa ni wengine...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mtu anayevunja ahadi kwa wapenzi,huwa anamana gani?

    Kaka kwani kuna chakupoteza asipokupa papuchi? Mpotezee hana jipya. Kwanza inawezekana sio papuchi orijino, imeshatumika anairingia. Tafuta mwingine wapo wengi sana
  14. W

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'

    Kumbe kuomba utaratibu na kusema kanuni zinabakwa ni utovu wa nidhamu? Ngwelezi na CCM mmesahau hii ahadi "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" mlitaka aseme kanuni zinaenda sawa? Tume ya kishenzi hiyo, maknda, ndugai ndo tatizo
  15. W

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Fundi thanks sana maana simu yangu Ideos sasa inapokea line zote na zinapiga mzigo kama kawaida. ubarikiwe
Back
Top Bottom