Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Ok,
Passcode ni case rahisi.
Kama una internet connection ya uhakika unaweza uka solve tatizo ww mwenyewe.

Connect iphone kwenye itunes into recovery mode then restore.

But make sure your phone is factory unlocked.
Else bring it to me.

Cost is 30,000/=

Thanks for advice fundi,
But kila nikifanya restore kwenye itunes napata error 1024

Nisaidie plz.
 
Sony Ericsson Xperia 10 inazingua kishenzi yaani. Inajiingiza kwenye camera always wakati sijabonyeza kitu chochote.
nashindwa ku-browse JF, naishia kulipia tu buku buku za Internet.

Inakuaje hapa??
 
Simu yangu ni nokia 2330 ina tatizo huwa inaandika INVALID WEB SETTING.Hvyo nashndwa kufungua vitu mbalimbali. Je inarekebishka?
 
Simu yangu ni nokia 2330 ina tatizo huwa inaandika INVALID WEB SETTING.Hvyo nashndwa kufungua vitu mbalimbali. Je inarekebishka?

Yes hapo inatala valid web configurations. Lama vile access point na kadhalika.

Jaribu kwenda kwenye settings then configuration then personal stettings then add personal configuration apn weka internet then save and activate.

Ur done.
 
Sony Ericsson Xperia 10 inazingua kishenzi yaani. Inajiingiza kwenye camera always wakati sijabonyeza kitu chochote.
nashindwa ku-browse JF, naishia kulipia tu buku buku za Internet.

Inakuaje hapa??

Hilo tatizo limeanza ghafla??
Au baada ya kuanguka, kumwagikiwa na maji??

Kama ghafla inabidi iflashiwe cost ni 25000 karibu sana kariakoo online tupo mtaa wa uhuru karibu na akiba commercial bank.
 
Fundi simu yangu aina ya sanfransisco nataka niwe nashare wire less haina option

Unaweza ku upgade??
 
Fundi simu yangu aina ya sanfransisco nataka niwe nashare wire less haina option

Unaweza ku upgade??

Yes utafurahi na roho yako.
Utapata cynogen rooted with android 2.3.7 pia wifi tethering kama kawaida.

Cost ni 35000

Karibu
 
Plse mkuu nina Blackberry Touch verizon.Can u unlock it? maana siwezi kutumia data
 
Plse mkuu nina Blackberry Touch verizon.Can u unlock it? maana siwezi kutumia data

baadhi ya simu za verizon hasa blackbeery huzuiliwa kutumia data ktk network tofauti na verizon.
so unaweza fanya bypass kwa kuinstall other browsers like opera mini na ukafanya kazi kama kawaida.

so bring it to me and lets have a try.
 
Fundi thanks sana maana simu yangu Ideos sasa inapokea line zote na zinapiga mzigo kama kawaida. ubarikiwe
 
Fundi thanks sana maana simu yangu Ideos sasa inapokea line zote na zinapiga mzigo kama kawaida. ubarikiwe

Karibu sana Kariakoo Online . com mkuu,
I am glad to see people are happy in here.
 
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES

UNLOCKING ANY GSM PHONES

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

UNLOCKING ANY GSM MODEM

  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE

FLASHING ANY GSM PHONE

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com

Habari fundi,
simu yangu iphone 3gs nime upgrade to ios 6.1
tatizo ni kwamba haisomi line na inataka niweke kwenye itunes,

nikiweka itunes inasema simcard not supported je ita gharimu bei gani?
 
hiyo factory unlock? nina iphone baseband 04.12.02,inatumia network tele2 ya sweden..nambie tunafanyaje??
 
Back
Top Bottom