Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Msimsahau ticha wenu punga yule.
Natamani Manispaa wairudishe ile shule yetu ya Msingi kwani nimesoma hapo na wazazi wetu walichangia ujenzi wa madarasa mnayojisifia nayo eti ya sekondari kwani hao mapadri walishindwa kuijenga sehemu nyingine?
Ufisadi mtupu ulitumika hapa eti kanisa!nalo linaingia katika mikataba ya kifisadi! haiwezekani!!!!!!!!!!.
Nasema tutairudisha tu hii shule siku moja iendelee kuwa ya msingi au sekondari ya kata, Nasema iko siku haiwezekani serikali iiuzie kanisa shule yetu tena ya msingi eti sekondari ya kulipia huu ni wizi mtupu hakuna la kujisifia hapa tena ufisadi unaolihusisha kanisa ehee!!!.

Napenda kuwakumbusha Kuwa Majengo ni shule ambayo Sita sahau mana nilijifunza Mengi kupitia Broo Lyimo nimemmiss sana Kama wewe ni wa Majengo tukumbishane chochote kuhusu shule yetu wadau.
cjasoma majengo,bt naiheshimu sana hii shule..ina mchango mkubwa sana katika maisha yangu..long live majengo.
Nakumbuka na mihogo ya pale kwa bi mchawi
kwa kua alomuoa dadaako alisoma hapo
Ilipo shule ya msingi ndiyo ilitakiwa iwe sekondari hilo ndiyo eneo halali la misheni ya katoliki,ilipo sekondari hivi sasa ilikuwa shule ya msingi toka miaka ya 1930Haaaa lakini si pia shule ya msingi ipo
Inaniuma roho kwani nimesoma hapo ikiwa shule ya msingi wala si udini ila kilichofanyika ni mchezo mchafu,hii ilikuwa shule ya msingi toka miaka ya 1930.hadi juzijuzi ilipoporwa.Mkuu thibitisha ukweli wa unayonena sio kueneza propaganda za chuki. S/kali inafurahia mchango wa Majengo secondary katika sekta ya elimu. Acha itikadi za udini hapa jf
Mnavujisha sn nyie
Inaniuma roho kwani nimesoma hapo ikiwa shule ya msingi wala si udini ila kilichofanyika ni mchezo mchafu,hii ilikuwa shule ya msingi toka miaka ya 1930.hadi juzijuzi ilipoporwa.
Haikuporwa kama unavyofikiri. Wakati Majengo secondary ikianzishwa kuliko na shule tatu za sekondari ndani ya manispaa ambazo ni mawenzi, old moshi na moshi tech. Shule hizi zilikua hazitoshelezi idadi ya watoto wanaomaliza shule ya msingi kwani wakati huo kulikua na shule za msingi nyingi tu kama Majengo, kibo, Kilimanjaro, njoro, langoni, Mandela, Padua, msaranga, kiboriloni, mawenzi, jamhuri, muungano, korongoni, mwenge, n.k. Zote hizi watoto waliomaliza elimu ya msingi wasingetoshea kwa sekondari tatu za mawenzi, old moshi na moshi tech. Ndipo s/kali ikaruhusu ndani ya shule ya msingi mawenzi kuanzishwe kibo sekondari na ndani ya shule ya msingi Majengo kuanzishwe Majengo sekondari. Serikali ilifanya uamuzi sahihi kabisa
Hahahaha kweli kabisa mkuu
Heeeeeee! Nani kakuambia, majengo Acha kabisaMnasifika kwa kufeli sana