kabla kikwete hajapelekwa, nakumbushia apelekwe mkapa kwanza the hague. jeshi lake liliua watu zaidi ya 30 mwaka 2007 znz. siyo mtu mmoja au wawili. watu zaidi ya 30
wana forum tuwe na tafakuri za kina. viongozi wa vyama vya kisiasa ni viongozi wa kitaifa. licha ya tofauti za kisiasa, wanafaa kuheshimiwa na wanasiasa wote.
siasa siyo uadui. miezi miwili iliopita, lissu alikwenda na msafara wa spika ktk nchi za korea, japan........
prof kahigi alisafiri na...
Mh. Rais kasema kuna kosa la kiuchapaji lilfanyika. pesa zimerudishwa zipo nchini. tatizo liko wapi!? tuache kung'ang'ania mambo ambayo hayana tija. hata uingereza hakuna alieshitakiwa.
Mh Lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli...
acheni unafiki. maswali a msingi yaliulizwa. EPA, richmond, ulimboka, mgomo wa madaktari, mgomo wa walimu, chenji ya rada pamoja na rushwa nyingine nini. msiwaonee wahariri. mwanahalisi ni gazeti la udaku na majungu. namshukuru JK kwa kuweka kila kitu wazi. ni hodari wa kujibu maswali
Kauli alioitoa mchungaji msigwa jana bungeni kama swali kwa waziri mkuu, imezua mjadala mkubwa asubuhi hii. mchungaji msigwa ambaye ni mbunge wa iringa mjini kwa tiketi ya chadema aliuliza kuhusu msimamo wa serikali ya zanzibar kupiga marufuku uvaaji wa nguo fupi kupitiliza kipindi cha mwezi wa...
USHAURI WA BURE KWA ZITTO
mzee mtei ambaye ni muasisi wa chadema, aliwahi kukuwekea pingamizi usigombee uenyekiti wa chadema. ulikua umshinde mbowe kwa kupata 70% ya kura. mtandao wako wa akina kafulila ukasambaratishwa na kufukuzwa. una maadui wengi chadema. pole sn kwa hilo! siasa ndivyo...
Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie...
nenda kwanza kajifunze Kiswahili ndiyo uanzishe thread. kujiuzuru maana yake nini? unamaanisha kujiuzulu? ama unamaanisha kuzuru?
nadhani unamaanisha kujiuzulu kutokana na kumtaja mwakyembe. kuwa makini uandikapo kiswahili!
siku hizi kuna usemi kuwa kakumbuka shuka huku kumekucha. Ni usemi ufananao na majuto mjukuu. Mwanasiasa makini ni Yule anaesoma alama za nyakati na kuwa na dira ya kumfikisha kwenye mafanikio. Mwanasiasa hodari lazima awe anabadilika kutokana na mazingira yaliyopo. Tatizo la vyama vyetu vya...
unajua kusoma vizuri? nimesema KATIKA KIPINDI AMBACHO WANA UHASAMA NA KESI BUNGENI SIONI KAMA NI SAHIHI KWA MNYIKA KUTEMBELEA JIMBO LA NCHEMBA. kasome maneno yangu vizuri tena. inaelekea kichwani kwako pumba nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.