Waziri wa Miundombinu (Zanzibar) ajiuzulu

nimefurahishwa sna na uamuzi wa waziri uyu..hakika umeingia katika historia na kuna siku tutakuvika nishani
 
Ile meli imesajiliwa zanzibar,na zipo nyingi za aina ile zanzibari ,sumatra wanakataliwa kuzikagua kabisa kwa sababu eti zimesajiliwa upande mwingine wenye nguvu sawa na wao!!ajali 2 za Meli kwa miezi 9 tu
 
Kwani mshasahau utamaduni wa ccm uwajibikaji ni mwiko kwao!?
 
Ile meli imesajiliwa zanzibar,na zipo nyingi za aina ile zanzibari ,sumatra wanakataliwa kuzikagua kabisa kwa sababu eti zimesajiliwa upande mwingine wenye nguvu sawa na wao!!ajali 2 za Meli kwa miezi 9 tu

Muungano hawataki afu wakipatwa na dhoruba wanataka waziri wetu ajiuzulu.. Wamechanganyikiwa hawa
 
nenda kwanza kajifunze Kiswahili ndiyo uanzishe thread. kujiuzuru maana yake nini? unamaanisha kujiuzulu? ama unamaanisha kuzuru?

nadhani unamaanisha kujiuzulu kutokana na kumtaja mwakyembe. kuwa makini uandikapo kiswahili!
 
hapa mngekuwa mpo ana kwa ana kuna mtu angepewa za uso
 
Duh?mbona upande mwingine wa ndoa huwa hauigi huu uwajbikaji?au kwa sababu wao walitoa bwana haruc?c unajua mwanaume akitoka nje ya ndoa huwa hakuna uzito sana tofauti na bi haruc akimegwa nje?
 
Mh ......mie hapa sitii neno manake hawa bana !.....mbona hakujiuzulu kwenye ile ajali ya mwanzo?

kurudia kwa kosa lile lile kwa stail ile ile chini ya watu wale wale ni uzembe usiovumilika. Kwa mtu mwenye akili zote lazima akubali kujiondoa
 
Kwani alisema atajiuzulu? Anyaway kuzama kwa meli ile ni matatizo ya Wazanzibar,,ikiwa CCM haina kawaida ya kuwajibika hata kwa mambo yake tu itakuwa hili la majirani?
 
Back
Top Bottom