Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakuziba, Aug 3, 2012.

 1. w

  wakuziba Senior Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh Lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

  alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. lissu alinywea na kuomba radhi. lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.

  Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. Mifano ya kuteleza kwa Lissu bungeni ni mingi. takriban kila anaposimama lazima ateleze. nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao


  wakatabahu: wakuziba
  mzee wa maneno ya ukweli unao choma nyoyo
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Atateuliwa Chemba usijali
   
 3. c

  chama JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lissu ni mtu makini pamoja na kuwa amezungukwa na kundi la walaji ndani ya Chadema; Lissu namkubali kama mwanasiasa anayetetea wanyonge. Sikumjua Lissu kwa kumsoma kwenye magazeti nina uhakika na ninachokisema.

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Unaonaje kama watamteua William Lukuvi! Ni mtu makini kuliko TL
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole zinatolewa ukurasa wa mwisho? wewe inakuingia akilini? waziri mwenye dhamana shame on you mwakyembe!
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ndo cha ajabu bunge zma ndo umekiona hicho?ni mpuuz huna hoja kwa hiyo unafurah kupiga makofi kwa mabwege wako::badilika mzee
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watu wengine bwana akili zao mh zinawatosha wenyewe .Pole na pongezi huwa vitu vya kwanza .Now CCM nadhani ina bifu na CCM wenzao huko visiwani
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kama binadamu sometimes anakosea au kutoona baadhi ya mambo mfano hilo,atleast hayupo kwenye list ya wabunge wanaotuhumiwa kula rtushwa....
   
 9. M

  MILLIONS MOVEMENT Senior Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huenda tatizo ni mitazamo, lakini jamaa ni mzuri kwa kusimamia hoja.
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  atoe pole ukurasa wa kwanza ya nini wakati hili ni swala la wazanzibari halituhusu...huu uzembe ulitokea kwa sababu ya wao wazenji kutaka kila kitu wafanye wao badala ya serikali ya muungano kufanya.. sioni sababu ya yeye kutoa pole kwanza wala kujiuzulu..hili ni swala la nchi nyingine japokua tunasikitika kupoteza watanganyika wetu pamoja na wanachi wa mataifa mengine
   
 11. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu Hilo ni Jambo dogo amBALO halitasaidia Taifa!! Je umeona lina umuhimu kuwa Hapa JF? Shame on You!!
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Lissu ni mtu wa papara sana kama suala la kutoa pole mbona Dr Slaa ajatoa pole.
   
 13. MKL

  MKL Senior Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole alishatoa Mwenyekiti Mboe kwa niaba ya Chama inatosha kama ni kwa level ya siasa, unataka Slaa atoe pole kama yeye au kwa niaba ya chama....? lakini Slaa pia hayupo Mbungeni Mboe yumo mjengoni; hivi nani ni mkuwa kati ya Mboe na Slaa CDM...?
   
 14. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ulishajua chadema ina wabunge bungeni wangapi?, usiwe mvivu wa kusoma taarifa, Chadema ilituma salaam za rambirambi mapema hata kabla ya magamba hamjajitokeza?
   
 15. I

  Iramba Junior Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa naungana na wewe pamoja na wote wenye mtazamo kama wako, labda tu kwa kuongezea kauli nyingine aliyokurupuka TL ni hii hapa .... Mh. Waziri mkuu, if you hv done your very best and failed, why dont you resign? .....
  Unalo hilo, mwaka huu lazima mfe
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Lissu jana aliumbuka kwa kutosoma vifungu ya hotuba akajikuta ananyamazishwa na mbunge wa Ole, Kassim Mbarouk, akamwambia mbona kaishatoa pole pitia ukurasa wa 3 (6) katika hotuba yake.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa Chadema wa kuchaguliwa ni 23 hao wengine wa kupewa mie siwatambui, sasa Lissu alikuwa anataka pole gani wakati Rais alishatoa.
   
 18. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unawastashwa wewe
   
 19. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo unatakaje mbona baba rits anaumbuka kila uchwao hamsemi au yeye hasemewi??
   
 20. A

  AZIMIO Senior Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unategemea Kila kitu anachofanya Lisu Bungeni basi lazima kiwe bila makosa?
  Yule ni binadamu kama wewe,mbona yale mazuri aliyoyafanya bungeni hukuleta kwa kumsfia?
   
Loading...