Recent content by Wakutu

  1. Wakutu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msanii T.I.D aitaka CHADEMA imlipe kwa kutumia neno "Ni Yeyee" kwenye kampeni zao

    Akawashtaki na WaEbrania
  2. Wakutu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

    Upo sahihi kabisa
  3. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ni Kati ya mwaka 2100 / 2500 na hizi ndio sababu zangu

    Bonge moja la story ukiwapelekea Malvel utapata mkwanja mnene sana alafu wenyewe wanaweka ktk movie zao zile za fiction. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Yupi ndiye msanii bora zaidi kwa sasa Afrika?

    Burna Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Wakutu

    JamiiForums Tanzania NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Walikuwa sahihi kabisa,sheria lazima ifuatwe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Behind the Scene: Uchaguzi wa Zanzibar 2015

    Story ina mpangilio wa hovyo na uwasilishaji wa hovyo hii mpaka inachosha yaani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya mgogoro kati ya Iran na Marekani

    Sawa tunasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

    Haaaaahaaaaaa mi nillishangaa aisee,gaidi wa maigizo yale alipiga kilemba cha kule mashariki ya kati
  9. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Katika ukurasa wake wa Instagram iko mbali nendeni kule
  10. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Bosi wangu huyu pale Chelsea heeeheeee.
  11. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA

    Hivi unajua kuwa hizo Tecno hata china kwenyewe hazipo,wachina wengi hawazijui,yani hizo zinatengenezwa kwajili ya Afrika tu.
  12. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kazi za gari lenye machuma mengi kwenye msafara wa Rais

    Kumuua hapohapo mtu alomshoot raisi ni kosa kubwa sana la kiintelijensi,mtu huyo inabidi apatikane akiwa hai kwa gharama yoyote ile yan kuua ni jambo la mwisho,ukimuua utakua pia unewafurahisha hata walomtuma sababu ushahidi mkubwa na chanzo kikubwa cha upelelezi wote umeuharibu palepale.
  13. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Ukweli usioujua kwanini unalipa bili kubwa ya umeme ingawa matumizi yako ni kidogo

    Aisee umenifungua sana ndugu,baadae nitatulia nitarudia tena ili ikae kichwani vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Wakutu

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nirithi mke wa kakaangu

    Umeamua uamuzi sahihi huyo mtoto ni damu yako,chukua usukani endesha gurudumu.
Back
Top Bottom