Mkuu helicopter ilitua baada ya crusser kushusha wengineNimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja. Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui. Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja. Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui. Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Jaribu kuficha ujinga basi... Comando anashuka Dalila nzima anahangaika kufungua kamba..... Na wale ni mateka VIP wanatakiwa kwenda na "stealth mode" kimyakimya ... Huwezi kwenda kuokoa VIP na mikelele labda mateka wengi .....Ubezaji wa si tabia njema. Hili ni jeshi letu, tulipende. Ulinzi wa mipaka yetu unawategemea wao kwa asilimia kubwa. Tuwape moyo waendelee kuwa na morale. Vile vile, tusilinganishe movies ambazo zimekuwa edited na mambo ya live. Mapigano ni profession, sio kila mtu anaweza kuchambua
Hata TISS wapo wenye elimu ndogo. Nilianza kuwadharau kielimu baada ya mwanafunzi wangu wa four ya 31 kuajiliwa huu uko baada Ya kula kwata mlale JKTKutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.
Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.
Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
helicopter inaganda hewani dkk 20 ISIS wamekutazama tu,, thubutuu
mission impossible,,
Halafu nimegundua kuwa serikali NATO inajua kuwa din gan ni magaidi kwa. Kuangalia wale wale makomandoo
Senga na kingwendu? DuuhKwa upande wangu sikuona chochote kipya bora Senga na Kingwendu wakiigiza wanaweza kumchanganya mtazamaji akadhani ni tukio halisi kuliko wale askari, walionekana kama wapo kwenye mafunzo
Oooh so sweet[emoji7][emoji7]Yan sijaona kipya pale yote nishaona kwenye movie Tena Bora hata wale sungusungu wa kisukuma..ilinibidi niendelee tu kuchat
[emoji16][emoji16][emoji16],helicopter utazani ya ambulance, JPM stopisha hiyo miradi watafutie vijana helicopters za kueleweka.View attachment 1286873
Burudani gani ile? Wala haikunoga.Aisee!!
Pale sio uwanja wa vita.. Ile sio sinema uone uhalisia.
Ule ni mfano tu, ni burudani tu, sio field.
Endelea kuangalia tv, mengine yaache yalivyo