Recent content by Wakuru

  1. W

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Mwita Maranya; Kesi hii ni ya zamani lakini bado iko live kutokana na mambo yaliyojitokeza kuendelea kuonekana katika maisha yetu ya sasa,mtiririko wa kesi uko sawa na kesi imeonyesha ni jinsi gani kila upande unavyojitahidi kufanya kazi ili kupata kile kinachoitwa mafanikio. Mwisho hata mimi...
  2. W

    Usmart wamponza

    Mwambie tiwaclisane
  3. W

    Utafiti: Wanawake wenye mvuto wa kimapenzi huwa vigumu kwao kuolewa

    Ingawa wanavutia machoni huwa hawana nidham kwan huwa wanaringia hipd zao kuea kila mwanaume anamhitaji.
  4. W

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    kaka kuna gari za watumiaji wa kipato kidogo na kipato kikubwa,ni kama kama huna biashara za safari ndefu za mara kwa mara unanunua prado v8 huku maisha yenyewe ni ya kuungaunga,utailaumu gari kumbe kosa ni lako kutokufanya uchunguzi mapema.Gari yako hiyo hiyo ipige long safari uone kama...
  5. W

    J3 Polisi Wanapaswa kuiona Nguvu ya Umma Mahakamani; Tujae kwa Wingi Kabisa

    njooo tu kwani hata kama ukifa si ndo damu yako itakuwa imepamdwa kwa wa...........,mi naona maidha yamekuwa ni kufu ata mkumbo,mlio tayari tangulieni ili hata mkipigwa na nao vibaraka wa Mwema sisi tuaandamane tupigwe kwa ajili yetu bila kujali kuwa mlikuwa shemeji za RWAKA...... KOMAENI...
  6. W

    Geita: Polisi waua mfanyabiashara wa madini na kupora milioni 350

    hizo mbwembwe,polisi ishirini kwa mtu mmoja,halafu akaaenda kumuua,acheni hulka zenu ila tujuzeni yaliyojiri na siyo mtu kutuandikia tu kwa kuwa ndugu yake aliiba na kukamatwa na polisi so iwe ni Bias tu ndo inatumika. Sawa the guy has dead,so what next
  7. W

    Wote waliokopa heslb inawahusu!

    Hana jipya huyo kwani mbona hasemei waliokula MABILIONI YA KIKWETE ambayo zilikuwa ni hela za walipa kodi,anakuja kuzuga kwa watu wasiokuwa na matatizo,hili hata kama asingesema watu watalipa coz utaratibu uliwekwa kuwa wahitimu waliokopa hizo hela wataanza kukatwa/ kurudisha hela hizo baada ya...
  8. W

    Watoto wa pande za Kibaki Kenya hakunaga, warembo kupitiliza

    lkn kwa taarifa yako katika nchi zenye mabinti viwango kenya haimo na hata hao wenye vichupi vyeusi ni wasauz so usijidanganye
  9. W

    Wazazi msitafute mchawi wa watoto wenu kufeli... Angalieni madudu ya watoto wenu kwenye picha hizi.

    Wanafunzi walaumiwe k,wa kurahisisha mambo hasa ya elimu wanajali zaidi kuonekana wa kisasa kumiliki simu na kuvaa hovyo hovyo, kutamani na kujihusisha na ngono.mi naona wamevuna walichopanda
  10. W

    Mkenya kaniuliza swali!

    Msiwe waoga kusikia neno Mkenya tu mnaanz akuseme maneno mengi bila kujiuliza maswali ya msingi kuwa mtoa hoja na alikutana na Mkenya wa kada (level) ipi ya maisha,yeye alichojali ni Ukenya tu, inawezekana alikutana na Menya ambaye ni tingo wa gari la mizigo toka Nyawahita ama Katito alikuwa...
  11. W

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Uko sawa kabisa,yaaani kwa tanzania kama kuna familia ambayo hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kuathirika na ukimwi,sasa katika matokeo haya lazima imeguswa kwa namna moja ama nyingine. Basi kwa ujumla kwa kujali mustakabali wa taifa,tupeane pole na tujipange,serikali iboreshe mitaala na kujali...
  12. W

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Hii nayo inachangia na hasa baada ya mfumo wa kileo uliowafanya walimu kuwa washikaji zaid wa wanafunzi,siku hizi unakuta mwalimu anamwambia mwanafunzi wake "mambo,mwanafunzi nae anajibu ,poa" sisi enzi zetu nidhamu ilikuwa kubwa,hakukuwa na huu ushikaji,salaam ni shikamoo mwalimu,leo hii watoto...
  13. W

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Wanastahili hilo hasa hawa wa mjini kwani they are so busy with the social networks charting and talking love stories,they are caring about their modernity especially those resides in town but for those who live in village,they are affected by environmental circumstances. Am very much...
  14. W

    VUrugu Bungeni Wabunge wa CCM walianzisha 100%

    Nadeclare interest kwanza, mimi si mshabiki wala mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini ila ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na democracy kwa ujumla za ndani na nje ya nchi. JUU ya hili lililopo mezani mimi binafsi naweza kuwatupia lawama ndugu zangu wa chama tawala kwani mara nyingi...
Back
Top Bottom