Recent content by wakunyumba2

  1. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Msimamo wa na maadili ya kiba tofauti na mond xo msilazimishe maji kupanda mlima
  2. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Gwajima amcharukia Diamond

    Maandiko yanasema akupigae kofi upande wa kulia mgeuzie na kushoto na auwaye kwa upanga naye afe kwa upanga
  3. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Wale ma engenier ulio wafukuza kazi kwamba ni wazembe na hawana sifa...? Walioba mtu mzima kama yule ulimpiga makofi ( laana hii ukamuombe radhi ) Atumbuaye wenzie naye atumbuliwe sasa zamuyako imefika
  4. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Utamwambia nini mtu aliyetoka jela baada ya miaka 20 ili aijue Tanzania ya sasa?

    Nitamjuza madawa ya kulevya yalivyo dhibitiwa na ndugu bashite
  5. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu

    Asante kwa ushauri wako mkuu
  6. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

    Kale kawimbo ka mbele kwa mbele kanahusika
  7. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu

    MSAADA WADAU kuna namba sitaki zinipigiea simu Je nizifanyeje ili akipiga asinipate...?
  8. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Auaye kwa upanga naye afe kwa upanga Sent from my itel it1551 using JamiiForums mobile app
  9. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi laboratory technologist nipo mafinga-iringa

    Nimesomea medical laboratory
  10. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi laboratory technologist nipo mafinga-iringa

    Nipo mafinga iringa natafuta kazi ya laboratory .Natanguliza shukrani zangu
  11. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    Mbona mi kibamia lakini najiamini sana tena napendwa na totoz kwa umahili wa kutumia kimbilimbi changu.
  12. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

    Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Kushinda ishinde ccm wakishinda wengine hawana haki?
  13. wakunyumba2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Sikuhizi haki sawa kwawote muacheni dada amlinde Rais
Back
Top Bottom