Natafuta kazi laboratory technologist nipo mafinga-iringa

Yaani umesomea nini hasa? Medical lab technician au lab za mambo ya viwandani??
 
Matangazo kama haya ya kutafuta kazi ni muhimu na lazima ueleze level ya elimu yako...ni certificate au diploma au degree?? Sasa ukisema tu lab technician nani atajua kiwango chako cha elimu?
 
Nipo mafinga iringa natafuta kazi ya laboratory .Natanguliza shukrani zangu
*Natangaza tena*

mwenye coz ya lab. Tec certificate na anayo living na hana *_ajira_* anitafute mbona hamsaidiki ninyi watu hata kama ndugu jamaaa na rafiki waambieni

piga *0629216885* kwa maelezo zaidi .NIMETOA KWENY GROUP LA WhatsApp LA WATUMISHI WA MUNGU KUNAMDAU KAPOST HEBU WASILIANA NAE
 
Matangazo kama haya ya kutafuta kazi ni muhimu na lazima ueleze level ya elimu yako...ni certificate au diploma au degree?? Sasa ukisema tu lab technician nani atajua kiwango chako cha elimu?
Ngoja nikufungue akili. Jamaa kasema laboratory technologist maana take Ni lab practitioner level ya diploma.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom