LH XiV
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 346
- 350
Ni matumaini yangu sote tu wazima, nawaombea kwa Mungu wote walio tofauti kiafya.
Twende moja kwa moja kwenye suala husika,
Ndugu wana JF wenzangu je kwa wakati huu ukikutana na mtu aliye toka jela baadda ya kukaa huko kwa zaidi ya miaka 20 mpka 30, nini cha kwanza unaweza kumwambia ili apate picha ya wapi anakoenda na maisha anayoenda kukutana nayo baada ya kula na kulala bure.
Mbali na kumwambia VIROBA vimefungiwa je nini hasa ungependa ajue kutoka mtaani?