Ni series ya kijinga sana kwa kweli, binafsi sijaipenda, nilikua na Mategemeo makubwa sana kutoka kwa Marvel ila naona kama wameshindwa kudeliver what is expected from them kutokana na kufaulu kwao upande wa Movies.
Iron Fist, imekumbwa na critics nyingi sana Rotten Tomatoes imepewa 17% sasa...