VING'AMUZI VYA CANAL

wakanda

Member
Mar 18, 2017
16
38
Wadau nimesikia na kuona ving'amuzi vya namna hii ambavyo kwa habari ninazozisikia ni kwamba ni king'amuzi cha nchi jirani kama Kongo, rwanda, burundi na kwingineko ila kuna baadhi yapa bongo wanavyo. Vina channel za CANAL Sports ambazo zinaonyesha mpira na wa ufaransa na uingereza na kwa subscription ya mwezi ambayo ni affodable sana.
Naomba Wadau kana kuna mtu anavyo Ving'amuzi hivi au anafahamu vinapopatikana tafadhali naomba anijulishe.
Natamani kuvipata na mm pia.
Asante Wadau.
 
Back
Top Bottom