Sr kinjikitile
Member
- Jul 2, 2017
- 52
- 53
Vijana mada yenu iyo
Umekurupuka Blaza. Soma tena makala. Sio lazima jiji letu sisi wa zamani wengine tulikua hatuna televisheni.Mie naamini sio 'Mwanaume wa Siku hizi'
Kama Baba yako alikuwa akirudi Jion anaangalia kipindi cha 'Jiji letu' ITV Kama nilivosoma kwny hiyo Makala nadhan itakuwa Makala inahusu Wavulana sio Wanaume
Anakazania tuwe wasiri halafu yeye mwenyewe anatoa siri zetu...Sasa maana yake ni niniMwandishi wa hiyo makala kamaindi mchepuko wako umejulikana na mkewe kaamua kutusingizia.
hahah ushirombo meen... ntapita hapo na kitu kinaitwa otta high classic tunywe bia kidogo..Mawazo yangu yameenda mbali sana aiseeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu ngoja nikae kimya kabla sija shambuliwa na wanaume wa DSM
Sawa kabisa mkuu...tatizo letu tunakuwa wajuaji pindi tukielezwa ukweli...huu pia ni umamaVijana siku hizi mmna mambo ya kimama kabisa ndo maana wengi wenu mnawaza Tigo tu!! Wengi wenu ni mashoga yoote hayo yanatokana na Umama wenu...
Mnaoa hamjui maana ya ndoa...Ukioa umeoa heshimu ndoa...ukiwa na kimada basi hiyo ni kazi yako kukiweka sawa. Sio mnaleta dharaaau
Siku hizi hata nguvu hamna mnapungukiwa kila siku mnakula vyakula vya kike kwa nn msipungukiwe....ndo maana Wamama mnoo. Chips na kuku wagonjwa. Bado mnakataa kuitwa wamama. Zamani kulikua hakuna mwanaume mwenye uume mdogo...ila siku hizi weeengi mmna vidude tu na matumbo makubwaaa...unakuta kijana kanyoa denge na mandevu kanyoa O Kubwaa na tumbo kubwa ana miaka 22, kama sio mama ninini?
Msikatae Wengi vijana wa kisasa wana Umama!
Ebu kabla ya kufika kule, naomba uni pm maana nimekua mzee wa safari kwa wingi karibu kila wiki... Hahaaahaaaaaa......[emoji134] [emoji134] [emoji134]hahah ushirombo meen... ntapita hapo na kitu kinaitwa otta high classic tunywe bia kidogo..
kumbe wewe ndio muandishi??Mi nawaambia...mlitaka niwapigie simu ili nizangatie usiri?
Unataka kuliamsha dude..Mawazo yangu yameenda mbali sana aiseeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu ngoja nikae kimya kabla sija shambuliwa na wanaume wa DSM
Comrade.....Unataka kuliamsha dude..
Naliamsha dudeee in weusi voice