Natafuta hii movie, kwa aliyeiona je iko vizuri?

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,267
2,000
wakuu kwa aliyeiona hii DEAD MEN TELL NO TELLS,vipi ipo mubashara?mimi ni mfuasi mzuri wa hii series ya PIRATES OF CARRIBEAN,nishaziona zote kuanzia
1)THE CURSE OF THE BLACK PEARL,
2)DEAD`S MAN CHEST
3)AT WORLD`S END na
4)ON STRANGER TIDES
kitu zipo tamu sana,bado hii ya mwisho nasikia nayo ina ladha za hatari,kwa aliyeiona ikiwa clean tupe link na sisi tuifaidi,nimeitazama kidogo ila ni ile chafu nikaamua kuachana nayo niipate safi,mwenye nayo tafadhali.......
 

wakanda

Member
Mar 18, 2017
17
75
Kwanza sio Series ni Sequel sawa?
Pili Movie imetoka wiki ilopita na kwa Mahafhi yake usitegemee kupata iliosafi kwenye link zozotee sahau ime muda mwezi hadi miezi 2 ama 3 ndo utaiona safi. F8 yenyewe hakuna safi zote chafu. May be inaonekana huna uzoefu wa kudownload!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom