Real Madrid

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Those who know do not speak. Those who speak do not know-ukimtizama ,Zinedine Yazid Zidane anachukua kombe la UEFA Champions League mara ya pili mfululizo na hana kelele wala mbwembwe sababu ni mwanadamu anayeujua mpira kuucheza kwa uwezo mkubwa na kuufundisha kwa uwezo mkubwa.

Cristiano Ronaldo Mwenyezi-Mungu alimuumba kuvunja record na alimpa sumaku ya mafanikio ,kila anachokigusa kinakuwa dhahabu, anafunga final ya tatu, anachukua na anachukua kiatu cha ufungaji cha UEFA Champions League mara ya 5, na kubeba UEFA Champions League mara ya nne.

Nina uwezo waa kumuandikia Cristiano Ronaldo kwenye karatasi ya urefu wa Km 10 na bado nisimalize kuandika ubora wake na utamu ambao ameuweka kwenye mioyo ya mashabiki na club ya real madrid.

Ilipofikia sasa UEFA Champions League inatakiwa kabla halijaanza tunatakiwa kuikabidhi Real Madrid kombe lao ndio mashindano yaanze sababu,analichukua anavyotaka na anavyojisikia.

Coach bora anapofundisha mchezaji bora,na team bora daima kazi inakuwa rahisi kuchanganya ubora wa coach bora,mchezaji bora ,team bora..White blood in my veins, pure football in my heart, [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

Hakuna slogan tamu ya soccer dunani kama ya Real Madrid -White blood in my veins, pure football in my heart, Hala Madrid
12e236ae3e19c5ac14efeedbf2542ebc.jpg
6b549bffec2878b909e4a569e628b473.jpg
bd1022847d34118bb748c802cf532b23.jpg
b637879bab44fa2fe21431cc87e82508.jpg
 
Wewe ni mpenzi wa Real Madrid na Cr7 basi! Ila una ushabiki wa Mpira kwa mbali sana
 
Back
Top Bottom