Recent content by Wakala Mtongwe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    airport au kiwanja cha ndege?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kutaja majina ya wacheza mpira(Wacheza Soka)

    Uche Okochukwu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ujue kwamba dawa ya Deni Ni kulipa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kutaja majina ya wacheza mpira(Wacheza Soka)

    Ortega
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu hii nyimbo mbona inagoma ku download!!?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Utotoni na udogoni Ni tofauti kumbe!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Chanya na hasi Ni hesabu zilizonisumbua enzi za shule ya msingi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Sawa mkuu..... Zifuatilie kwa ukaribu na makini. Ikiwezekana na uzuri na ubaya wake piaaa. Ila moja Zuri Ni kwenye kiwese, alhamdullillah mchina aiseee hahhahhahahhaaaaaaa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Sijaziona hata ktk masoko ya online ya Jon pia.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Pole na majukumu mkuu.... Nilikuwa naulizia gari kampuni ya FOTON body type SUV., huku nawaona nayo wakuu wa vitengo tuu na katika misafara ya viongozi, na katika zunguka zunguka yangu sijawahi iona ya private. Vipi inaweza kupatikana? Maana nimevutiwa nayo na wahusikaaa wanasema kiwese sio Kama...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Koh Koh Koh...... Wakala umegusa pahara
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

    Apson ndio boss aneyemuelewa Mr: BENARD njee na ndani Na after baba Lidhi kutake over, mdogo mtu Mr : BENARD akakengeuka kwa wakuu wake wa kazi wa zamani, kitu kilichopelekea boss Apson kuwa mwana propa wa ENL na kumbwaga Mr: BENARD. So kwaiyo JIWE anabet kwa boss, mbinu walizotumia kusizishi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye group la WhatsApp anitumie na Link,mengine tukutane kule
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kichwani,tumboni,kifuani zote Ni sehemu muhimu katika mwili wa kiumbe hai
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sikuiona alama ya pesa kwenye Till namba yangu ya uwakala
Back
Top Bottom