Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Watu wenye uelewa wa ushabiki tayari mmeshindwa kuelewa mantiki ya press release hii. Kitendo cha main point kuwa ni kushukuru kukubali kumuona tayari hiyo ni propaganda kama ile ya Lowassa ambaye kamwita mwenyewe kasha wanageuza eti kaomba kuonana.
Awamu hii propaganda za kitoto nyingi mno
Nimekuelewa sana mkuu maana umeelewa sasa kuna watu ambao hawajui/hawajaribu kufikiri wanadhan kaomba kuonana na Stone, Hahahahahahahaaaah .Fisiems bhana
 
Ngojeni nimfundishe Msigwa kazi. Ikitokea mtu anataka au ameomba kukutana na mkulu kwa kumuunga mkono au kumpongeza na akakubaliwa na kupangiwa siku , tarehe, mwezi na mwaka basi aje na templet ubaoni akiutaarifu umma juu ya tukio hilo adhimu! Akija baada ya kukutana haina ladha!
 
Alisema serikali take IPO kinyumee na serikali zilizopita kwamba MTU mwenye pesa alikua anawezaa kukufanyia lolote

Sasa hivi MTU mwenyee pesaaa anawezaa kufanywaaa loloteee like ktk serikali hii...

Kwaiyo msishangae matajirii was bongooo kumsifia rais...lakini pia msishangae watu kuishi kwa tabuu sanaa maana tulimchagua wenyewee
 
Apson ndio boss aneyemuelewa Mr: BENARD njee na ndani
Na after baba Lidhi kutake over, mdogo mtu Mr : BENARD akakengeuka kwa wakuu wake wa kazi wa zamani, kitu kilichopelekea boss Apson kuwa mwana propa wa ENL na kumbwaga Mr: BENARD.
So kwaiyo JIWE anabet kwa boss, mbinu walizotumia kusizishi wakala wao wa zamani na awe upande wake.
Bila kujua aliwasahau ambao atawaonba msaada.
Anyway Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwa taarifa yako huyo jamaa aliikuta cdm ikiwa na nguvu na ataiacha ikiwa na nguvu. Hakuna mchango wowote wa maana alioipa cdm zaidi ya kula hela za Lowassa. Hakuna mwanacdm yoyote anayemjua na wala hakuna anayemtetemekea. Labda jiwe ndio anadhani wanacdm wanamjua huyo jamaa.
Hivi unafikiri cdm imejengwa na mbowe? Fikirisha ubongo sawasawa.
 
Soon utasikia mstaafu kateuliwa Balozi nchi fulani.......hahaaaaaa ni utabiri tu msihoji sana.
 
Kila habari inayotoka ikulu ina mema tu ya Rais....hakuna changamoto hata moja! So sad!
 
Sioni umuhimu wala mantiki ya JPM kukutana Mkugenzi mstaafu wa TISS kuwa habari kwa umma hadi na mapicha, mwenye uelewa atujuze
 
Safi sana JPM huo ndio utanzania. Unapokea ushauri hata kwa wazee. Mungu akupe afya njema baba.
 
Back
Top Bottom