Recent content by Wajad

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Ndio mimi hapa sasa! Nakumbushe mwanangu ulikuwa unaitwa nani na ulimaliza mwaka gani?
  2. W

    JamiiForums Tanzania HILi ni jiwe la kawaida au madini?

    Njaa ni kitu kibaya sana
  3. W

    JamiiForums Tanzania Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

    Mtu akivuta sigara kali au akilewa pombe, ni jambo la kawaida kuona maajabu kama hayo anapotazama angani.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa DC wa Kisarawe mrembo Jokate

  5. W

    JamiiForums Tanzania Hii inaitwa jiongezee

    Ujinga mtupu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume Yamkuta Twitter, Ni Baada Ya Kusema Hajasomeshwa Na Serikali Ya CCM

    So far viatu vya lissu vimemfit
  7. W

    JamiiForums Tanzania Polisi wa usalama barabarani ni wengi kuliko askari doria

    Kwani hujui kwamba unatakiwa uishi kama shetani?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kufagia barabarani na kuzibua mitaro ni udhalilishaji kwa wanajeshi wetu

    Niliwahi kuwaona wakizima moto kwenye msitu wa hifadhi uliokuwa unaungua, hakika ilikuwa ni vita kali sana kati yao na moto usiku kucha bila koogopa nyoka na wanyama waliokuwa wanakimbia moto. Kwa hiyo hawa watu ni msaada mkubwa sana kwa jamii kwani hatuna ndege za kutosha kuunyunyizia maji au...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya Kujua Mahali Namba Ya simu Ilipo(Mkoa)

    Kwani unamtaka wa nini kama yeye hataki hata kupokea simu yako? Unamdai? Kama vipi wakati mwingine uwe unamwekea kile kifaa wanachowekewa wanyama pori ili kuweza kum trace popote anapokuwa.
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngono sehemu ya kazi: Je, ni kweli huambatana na mikosi?

    Mahousegirl wengi wanabanjuliwa na mababa wao wa kazi lakini bado wanaendelea na kazi zao zaidi ya miaka kumi
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngono sehemu ya kazi: Je, ni kweli huambatana na mikosi?

    Mabosi wengi wanawatafuna sana wafanyakazi wa chini yao maofisini na hakuna lolote
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nataka nije kufanya tukio la ajabu ili niweze kukumbukwa na vizazi na vizazi kama ilivyokuwa kwa hawa

    Hakuna jipya chini ya jua, yote yamekwisha kufanywa na waliotangulia
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wa Dar wamepata ahueni

    Naona kama ni mgonjwa anataka kunyweshwa dawa. Pembeni kuna anayepeleka maji.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz akiwa na mchumba ake mpya jijini Mbeya

    Mwanamke mzuri
  15. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

    Wee ke au me?
Back
Top Bottom