Msaada Jinsi ya Kujua Mahali Namba Ya simu Ilipo(Mkoa)

Msaada Jinsi ya Kujua Mahali Namba Ya simu Ilipo(Mkoa)

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,925
Kama kichwa kinavyojieleza hapo.
Kuna Namba Nahitaji kujua ipo mko gani au wapi, mana napiga haipokelewi toka juzi.
Note:
sio mke wala mpenzi
Natanguliza Shkrani
 
kuna kitu wanaita
Social Engineering Attacks
hii unaweza kumfanyia yeyote hata obama ilimradi tu upate information zake.

utafanyaje basi-?
nenda kituo cha polisi karipoti umeibiwa pikipiki au chochote utapewa r.b ambayo utaembea nayo na utaenda kwenye mtandao husika anaotumia huyo unaye mpigia ili wakupe location yake n.k

WARNING: kumbuka ukigundulika unafanya udanganyifu kwa maslah binafsi unaweza kuingia matatani ila kwakua umedhamiria kila lakheri
 
Mtu hataki hata kupokea simu zako unahangaika naye wa nini. Kama unahisi kuna hatari omba msaada polisi
 
Back
Top Bottom