Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Katakucha zako vizuri. Na Mimi ilikuwa inanitokea nikagundua tatizo kucha.
 
Utakua umepanga kwenye nyumba ya mpemba au mtu wa pwani. Ndio zao hizo hasa kwenye kulana uroda. Unafanya nae mapenzi wewe hujijui akimaliza anakuchanja chale halafu asubui anakusanif. Siku nyingine ukiona hivyo jaribu kumuangalia unayemhisi vibaya machoni.
 
Hizo sio chale, unajikuna bila kujua, weka chandarua inaonesha mbu wanakufyonza sana usiku.
Nafikiri hiyo mikwaruzo ni sabuni yenye mchanga anapojisugua nayo
Wengi huwa hawajui sababu ya mikwaruzo hiyo
Au unasemaje madam
 
popobawa akimpitia mtu nasikia huwa anamuachia mtu alama
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Update: Hizi ni picha za mkono kwenye msuli sio mapaja wala mgongo

View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Husababishwa na wewe mwenyewe kujikna wakati umelala. Aidha unalala bila kuoga au chumba chako kina vijidudu vidogo vinakupamba usiku na unajikuna ukiwa usingizini.

Suluhisho ni kuzidisha usalf i wa mwili, nyumba, chumba na mashuka ya kitandani.. Tumia mashuka masafi yaliyopigwa pasi kila siku kabla ya kulala.

Ulevibpia husababisha kujikuna mpaka kujichubuwa wakati wa kulala.

Uchafu huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom