Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Dah kumbe humu kuna watoto? Hii mikono ni ya Under12. Mpe mzazi wako simu niongee naye
Huu mkono wa kiume ww..OG
Dah kumbe humu kuna watoto? Hii mikono ni ya Under12. Mpe mzazi wako simu niongee naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mkono wa kiume ww..OG
Kwa heri akhiii
Tutaharibu hapa [emoji39][emoji39][emoji125]🏿♀[emoji125]🏿♀
ThibitishaChumvi ya mawe hiyo
Aiseee chalii yangu iyo ni RubyWakuu nimeshindwa kulielewa hili jiwe.
Nimeangalia kama ni chupa au kioo lakini inaonekana ni jiwe. Je ni jiwe la kawaida au ni aina ya madini? na kama ni madini ni ya aina gani?View attachment 1083473View attachment 1083474
Njaa ni kitu kibaya sanaVipi mkuu una Ndoto za kuendesha gari?
TayariThibitisha
Wakuu nimeshindwa kulielewa hili jiwe.
Nimeangalia kama ni chupa au kioo lakini inaonekana ni jiwe. Je ni jiwe la kawaida au ni aina ya madini? na kama ni madini ni ya aina gani?View attachment 1083473View attachment 1083474
Liko lingine kali kuliko hilo.lkn ni la kawaida kabisaWakuu nimeshindwa kulielewa hili jiwe.