Ushauri wa bure kwa DC wa Kisarawe mrembo Jokate

Mshahara wa dc ni around 4.8 to 5M

Kwa mtizamo wangu nilikuwa najua kwa jina alilo nalo jokate, anauwezo mkybwa kuingiza hiyo ela na zaidi.

Kumbe hamna kitu.
Kiukweli hawa Star wana fake maisha kinoma.

Mjini kuna mengi sana
Mshahara wa DC 4.8M - 5M? Nani mwingine anajua kiwango cha mshahara wa ma DC's atujuze
 
Inaelekea ni ushauri mzuri.Possibly wanataka kumuingiza mkenge ili aonekane hafai au ni kweli wanataka kutumia her inexperience kupiga. Nadhani atachunguza mazingira na kuchukua hatua stahiki.
Kikubwa hawataki kumuharibia bali watu wanataka kupiga pesa kwa wafugaji, wafugaji wanaishi na cash, na hizi oparesheni wakiwatimuwa wafugaji ambao ni kweli wamevamia mapori na wanajijuwa hivyo ambush ikianza wanakimbia na watu ndio fursa humohumo.
 
Kwa bahati nzuri mimi nayaelewa vizuri mazingira ya wilaya kisarawe ambayo kwa upande wa kaskazini inaungana na wilaya ya Kibaha vijijini.

Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, tuachane na past za Jokate tumuangalie Jokate wa leo na kwa nia njia tunaowatakia mema vijana tunapaswa kumpa ushauri kwa sababu kuu moja tu.

Sababu kuu ni kwamba huu siyo uteuzi wa Jokate tu bali ni sampling ya vijana na warembo je wanapaswa kuaminiwa? Atakapovurunda Jokate atawaponza vijana wengi na warembo kutoaminiwa kupewa madaraka haya ya kupatia uzoefu wa kwenda juu.

Mzee Jakaya Kikwete aliwaamini vijana wa rika langu langu lakini walimuangusha mpaka akaamuwa kurudi kuteuwa wazee kama Profesa Muhongo, na vijana waliomuangusha ni Laurence Masha, Ezekiel Maige, William Ngeleja nikiwataja hao kwa uchache.

Sasa basi nikija kwenye hoja ya kile ninachomshauri Dc Jokate hii oparesheni yake awe nayo makini sana haijawahi kumuacha kiongozi yoyote salama kwa sababu yatokanayo ndani ya hizo oparesheni ujaa uonevu na dhulma dhidi ya wafugaji na askari wanaoshiriki zoezi hili wanaipenda sana hii oparesheni kwa sababu ya posho na dhulma zinazoambatana na hizi oparesheni.

Mimi ni muwekezaji upande wa kibaha vijijini kwahiyo oparesheni hiyo ya Jokate naijuwa vyema na madhara yake na siamini kwa ugeni wake ati yeye ndio amebuni hiyo oparesheni, ukweli ni kwamba kuna wajanja wanaonufaika na hizi oparesheni kwahiyo nina uhakika wa 100% Jokate anaingizwa kwenye dili za watu bila kujijuwa huku akidhani anapata kick kumbe anashibisha matumbo ya wajanja na kwa percent kubwa wafugaji siyo wa kuwapa ambush bali kuongea nao na kuwapa mapori ya kulisha mifugo yao, sipendi pia jeuri ya wafugaji kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima lakini ukweli ni kwamba swala hili liko juu ya uwezo wa Dc Jokate ni swala linalohitaji mjadala wa kitaifa

Balozi Kagasheki alipoteza uwaziri kwa oparesheni Tokomeza sasa na hii oparesheni Jokate ajiangalie.

Nimetumia uungwana wa Kitanzania kumpa ushauri wa bure mrembo huyu najuwa hakuna alijuwalo juu ya hili zaidi ya dili za watu.

View attachment 830144
Ungem-dm insta ujumbe angeupata moja kwa moja,sidhani kama humu yupo.
 
Mshahara wa dc ni around 4.8 to 5M

Kwa mtizamo wangu nilikuwa najua kwa jina alilo nalo jokate, anauwezo mkybwa kuingiza hiyo ela na zaidi.

Kumbe hamna kitu.
Kiukweli hawa Star wana fake maisha kinoma.

Mjini kuna mengi sana
Si kweli
 
Ushauri mzuri natumai atafaunyia kazi kama atausoma au walio karibu naye watamfikishia. Kimsing kazi hizi zinahusisha watu wengi na kila mmoja anaweza kutumia operesheni kama njia ya kufikia malengo binafsi. Hapo ndipo umakini unahitajika sana, lakini nami naunga mkono juhudi hizi za kuondoa wavamizi kwenye maeneo yaliyohifadhiwa.
 
Hawakawii kumtest kama mwenzie majuzi; awe makini sana.
 
Kabla Jokate kuteuliwa watu mlikuwa hamtoi ushauri kapata uteuzi vidume mnajipitisha ohh tuna ushauri
 
Kikubwa hawataki kumuharibia bali watu wanataka kupiga pesa kwa wafugaji, wafugaji wanaishi na cash, na hizi oparesheni wakiwatimuwa wafugaji ambao ni kweli wamevamia mapori na wanajijuwa hivyo ambush ikianza wanakimbia na watu ndio fursa humohumo.
Huyu binti ni mdogo mno and very inexperienced kwa hiyo post,watamsumbua sana.Sijui ile principle yetu iliyozoeleka ya mtendaji,kupewa cheo baada ya kupata experiece imeyeyukia wapi.Anyway,I wish her good luck.
 
Mshahara wa dc ni around 4.8 to 5M

Kwa mtizamo wangu nilikuwa najua kwa jina alilo nalo jokate, anauwezo mkybwa kuingiza hiyo ela na zaidi.

Kumbe hamna kitu.
Kiukweli hawa Star wana fake maisha kinoma.

Mjini kuna mengi sana
Ustaa wa pichu
 
Nimetumia uungwana wa Kitanzania kumpa ushauri wa bure mrembo huyu najuwa hakuna alijuwalo juu ya hili zaidi ya dili za watu.
Huna haja ya kuogopa
Hii ni awamu nyingine,ole wake atakaejaribu kihujumu mipango ya serikali ya awamu ya tano
 
Mshahara wa dc ni around 4.8 to 5M

Kwa mtizamo wangu nilikuwa najua kwa jina alilo nalo jokate, anauwezo mkybwa kuingiza hiyo ela na zaidi.

Kumbe hamna kitu.
Kiukweli hawa Star wana fake maisha kinoma.

Mjini kuna mengi sana
Ata iyo hela kubwa huanza na hizi unazoziita ndogo...by the way anaanzaje kuikataa wakat haitafuti kwa jasho sana km kule kwnye ustaa...hii inakuja tu yenyewe tena kwa uhakika tarehe 22 ya kla mwezi.
 
Kwa bahati nzuri mimi nayaelewa vizuri mazingira ya wilaya kisarawe ambayo kwa upande wa kaskazini inaungana na wilaya ya Kibaha vijijini.

Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, tuachane na past za Jokate tumuangalie Jokate wa leo na kwa nia njia tunaowatakia mema vijana tunapaswa kumpa ushauri kwa sababu kuu moja tu.

Sababu kuu ni kwamba huu siyo uteuzi wa Jokate tu bali ni sampling ya vijana na warembo je wanapaswa kuaminiwa? Atakapovurunda Jokate atawaponza vijana wengi na warembo kutoaminiwa kupewa madaraka haya ya kupatia uzoefu wa kwenda juu.

Mzee Jakaya Kikwete aliwaamini vijana wa rika langu langu lakini walimuangusha mpaka akaamuwa kurudi kuteuwa wazee kama Profesa Muhongo, na vijana waliomuangusha ni Laurence Masha, Ezekiel Maige, William Ngeleja nikiwataja hao kwa uchache.

Sasa basi nikija kwenye hoja ya kile ninachomshauri Dc Jokate hii oparesheni yake awe nayo makini sana haijawahi kumuacha kiongozi yoyote salama kwa sababu yatokanayo ndani ya hizo oparesheni ujaa uonevu na dhulma dhidi ya wafugaji na askari wanaoshiriki zoezi hili wanaipenda sana hii oparesheni kwa sababu ya posho na dhulma zinazoambatana na hizi oparesheni.

Mimi ni muwekezaji upande wa kibaha vijijini kwahiyo oparesheni hiyo ya Jokate naijuwa vyema na madhara yake na siamini kwa ugeni wake ati yeye ndio amebuni hiyo oparesheni, ukweli ni kwamba kuna wajanja wanaonufaika na hizi oparesheni kwahiyo nina uhakika wa 100% Jokate anaingizwa kwenye dili za watu bila kujijuwa huku akidhani anapata kick kumbe anashibisha matumbo ya wajanja na kwa percent kubwa wafugaji siyo wa kuwapa ambush bali kuongea nao na kuwapa mapori ya kulisha mifugo yao, sipendi pia jeuri ya wafugaji kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima lakini ukweli ni kwamba swala hili liko juu ya uwezo wa Dc Jokate ni swala linalohitaji mjadala wa kitaifa

Balozi Kagasheki alipoteza uwaziri kwa oparesheni Tokomeza sasa na hii oparesheni Jokate ajiangalie.

Nimetumia uungwana wa Kitanzania kumpa ushauri wa bure mrembo huyu najuwa hakuna alijuwalo juu ya hili zaidi ya dili za watu.

View attachment 830144
Pamoja na u doti wake, na kuwa simkubali sana kwa sababu ya kupiga picha za uchi, ktk hili la kwenda kufanya operation ya kuondoa wafugaji kakosea sana, tena sana. Mimi natoka jamii za wafugaji, na pia kwa bahati niliwahi kuishi maisha ya wakulima nikiwa sehemu nyingine, hivyo nina uzoefu wa pande zote. In short wafugaji kama ulivyosema mleta maada si watu wa kuwafanyia kama alivyofanya huyu kidoti doti. Maana kwa historia tu hata Dr. Magufuli alipokuwa waziri wa mifugo na uvuvi aliwahi kuasisi operation ya kukamata mifugo/kuzuia isisafiri, ila kilichotokea kwa wafugaji Mungu anajua, wengi walinyang'anywa mifugo yao na waendesha operation (including polisi) na mifugo ilibebwa kwa malori kupelekwa kuuzwa dar, yaani wale waendesha operation waliandaa kabisa magari. Ila ukija upande wa wakulima nao ni hivyo hivyo, wengine wana visa, unaweza kuta mkulima kaamua kuziba sehemu ya kupitishia mifugo makusudi kabisa. Hivyo Migogoro ya wafugaji/wakulima/ au juu ya hifadhi inatakiwa kufanyiwa kazi kwa umakini wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom