Kumbukeni ajira yake inatolewa na Rais na inasitishwa na Rais, usitegemee akatenda tofauti na mwajiri wake! Haya yote dawa yake ni katiba mpya, kazi zote kuanzia DC, RC, RAS, DED, wakuregenzi ziwe za kuomba tupeleke CV tupambane sio kupeana sandakalawe za kukosa ubunge