Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

wanamuogopa mwigulu ATATAFUNA madada zao kama alivyoMTAFUNA yule dada kule IGUNGA.
 
Mkuu this is too low and personal. Tunawahitaji sana watu kama kina Mwigulu hapa jamvini, ila tunapoleta personal attacks and insults tunakuwa hatuwatendei haki na kuwakimbiza. Tuache personal attacks kwa sababu tu watu wanajitokeza kwa majina yao halisi.

"Kiongozi anatakiwa kuwa mtu anaejiheshimu,si uhuni uhuni tu,kama anataka uhuni aende mabarabarani huko kuna wahuni wengi tu na si katika uongozi" - J.K.Nyerere kwa hiyo kama Mwigilu anajua anahitajika ajiheshimu,na si uhuni uhuni tu,otherwise mtafute personal mjadiliane utakayo ona yana manufaa
 
Luhwege nimeeleza sana jana sijawahi kufumaniwa na kama yupo aliyenifumania na aseme ilikuwa wapi yaani hata aseme nilikukuta hivi ikawa hivi aseme hata eneo hata muda na nini kikatokea. Ndg wans JF najibu haya kwa sjili ya wenye nia njema. SijawahihataKUKUTWA NIKIWA NIMESIMAMA NA MKE WA MTU NA KUTILIWA MASHAKA ACHS KUFUMANIWA. HATA HIVYO INGEKUWA kweli isingebadilisha kwa kubisha bali ningekiri ns kuomba radhi. Kwa ni kwa uelewa narudia sijawahikufumaniws hata nikiwa nimesimama na mke wa mtu na kwa igunga ndg za ilikuwa vita hiyo na ilijadiliwa
 
Ndg uliye jitambulisha "mj" nakushukuru sio kwamba hatukuitetea JF bali lile lilikuwa swali binafsi tu ambalo lili kuwalinahitaji majibu ya waziri. Ungehiaji maoni yangu kuhusu jf ningekwambia sina tatizo na JF na ikitokea mjadala ni mkali na unamasilahi kwa taifa au unarekebisha tabia au mwenendo hiyo ni kama kioo, kioo kikikutoa unatongotongo usikijunje bali kanawe kitakuonesha vizuri tu. Ni kweli kuna wanaoacha hoja na kwenda nje kwa sababu binafsi hao ndio wapime waone inatija hiyo?
 
Mnaomshambulia kiongozi nawaona wendawazimu kweli kwa sababu mtu amejitokeza kujibu naangaweza kukaa kimya mnatukana bila sababu wehu kweli. Big up Mwigulu, usitoweke, tunafurahi tunapopata ufafanuzi. Wanaong'ang'aniza kufanya amakukamatwa walikwepo? Hawajui siasa na hawana hata upeo wa kuona ktk mazingira ya siasa ungeweza kusingiwa jambo lolote
 
Masikini James Kinyasi Millya aumbuka Arusha. Ni Yule mwenyekiti wa vijana wa ccm Mkoa wa Arusha ambaye alifeli mtihani wa kidato cha pili pale moringe sekondari mwaka 1997. Mzungu aliyekuwa anamlea alimuokoa na kumpeleka Uganda.

Vijana wa Arusha Jana walimzomea na kumwaMbia atafute ajira na aache mara moja kutumika na mafisadi. Hii ilitokana na yeye kuandaa maandamamo kule kikatiti.
 
Unganisha basi na ile mada yako ya huyu jamaa kufeli tusichanganye kujibu hoja moja threads mbili tofauti
 
Maamuzi ya kamati kuu ya Leo yawavuruga Millya, Ester Maleko, Ally Bananga na Sioi. Hayo yalidhihirika Leo kwenye Kikao chao walichokifanya kwenye moja ya kata za jimbo la arumeru Mashariki. Kikao chao wameseama watapambana kufa na kupona hadi Sioi ashinde tena. Wanasikitika sana kwa ccm kuwafanyia Uhuni kwa kitendo cha kutokujali gharama wlizotumia kwenye mchakato uliopita.

Pia wamekemea kitendo cha kusema Lowasa Katoa hela kwa ajili ya Sioi wakati hela hizo zimetolewa na Fred Lowasa pamoja na rafiki zake.

Pia Millya amekemea kitendo cha watu kuzungumzia tu namna alivyofeli kidato cha pili pale moringe sekondari na kuwashangaa kwa Kuwa Mbona aliporudia na kufaulu hawakusema tena? Waache kuzungumzia upande mmoja tu. na lazima jamii ielewe Kuwa ile ilikuwa ni bahati mbaya ndo maana aliweza kuendelea na masomo ya juu tena nje ya nchi.
 
Masikini James Kinyasi Millya aumbuka Arusha. Ni Yule mwenyekiti wa vijana wa ccm Mkoa wa Arusha ambaye alifeli mtihani wa kidato cha pili pale moringe sekondari mwaka 1997. Mzungu aliyekuwa anamlea alimuokoa na kumpeleka Uganda.

Vijana wa Arusha Jana walimzomea na kumwaMbia atafute ajira na aache mara moja kutumika na mafisadi. Hii ilitokana na yeye kuandaa maandamamo kule kikatiti.

Poor construction of ideas.
 
Mwigulu LM Nchemba 18:39 Today

Luhwege nimeeleza sana jana sijawahi kufumaniwa na kama yupo aliyenifumania na aseme ilikuwa wapi yaani hata aseme nilikukuta hivi ikawa hivi aseme hata eneo hata muda na nini kikatokea. Ndg wans JF najibu haya kwa sjili ya wenye nia njema. SijawahihataKUKUTWA NIKIWA NIMESIMAMA NA MKE WA MTU NA KUTILIWA MASHAKA ACHS KUFUMANIWA. HATA HIVYO INGEKUWA kweli isingebadilisha kwa kubisha bali ningekiri ns kuomba radhi. Kwa ni kwa uelewa narudia sijawahikufumaniws hata nikiwa nimesimama na mke wa mtu na kwa

MODE mbona hatuelewi huyu mtu ana I'd ngapi mana ipo ya Mwi gulu, Mwigulu Nchemba na hiyo juu ya Mwigulu L.M Nchemba hebu fanyeni utaratibu tujue moja
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.

Mkuu sijui uliisoma ile thread iliyokuwa inakujadili juzi hapa jamvini? Nape katukimbia siku hizi, naomba uendelee kuwepo ili uweke mambo sawa kuhusu magamba wenzio. Mh naamini bado uko BOT japo unawawakilisha wana Iramba.
Chaguzi hizi ndogo zikiendelea nchi haitafilisika zaidi?
 
Kama mwingulu hajikombi kwa ukampeni manager sasa anafanya nn arumeru ? Kwani hamna uongozi wa ccm arusha kufanya anachokifanya yeye? Wenye akili wameshajua lengo lake,nadhani hata kigwangala anafahamu ila "acha mshikaji"apate mchongo na pia kwa ajili ya kundi letu.

Kwani Kigwangala hatapenda Sioi,mkwe wa EL,jamaa wa Rostam apigwe chini? Hebu tuone kitakachotokea march mosi kwenye uchaguzi wa marudio!
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Daa! Umekuwa shapu kupangua tuhuma za leo. Ungefanya hivyo hata kwa tuhuma ile ya Igunga naamini ungekuwa umeitendea vyema historia yako. Maana tayari ina doa.
 
Mwendo Mdundo na tupo pamoja sana tu hapa JF.

Usishtuke kurushiwa virungu maana Dr. Slaa alishatukanwa sana. Nina imani kuwa maadam umeamua kujifichua kama akina Zitto, Slaa, Kigwangallah na wengine kadhaa basi umejiandaa kuwa na ngozi ngumu kama ya mamba.

Tukate issue hapa kwa maslahi ya Taifa ingawa kama mila ya Watanzania ilivyo, mtu uliyepigana naye anakuwa mtani wako.

Nilikutana na kijana mmoja akifanya kazi ubalozi wa South Africa na alisikitika sana kwamba pamoja na yeye kuwa mweusi, anashangaa Tanzania wanamwita kaburu. Kibaya zaidi, anakumbuka mabaya ya Kaburu enzi hizoo.....

Hivyo, kwa nyie mnaojipambanua kama Wana CCM, basi mna WATANI wengi sana hapa ndani. Na wale wote wanaojipambanua kama Chadema, nao huwa wanarushiwa sana madongo. Ili muradi watu wanapata sehemu ya kumalizia hasira zao kwenu viongozi wa Chama tawala.
Ndg uliye jitambulisha "mj" nakushukuru sio kwamba hatukuitetea JF bali lile lilikuwa swali binafsi tu ambalo lili kuwalinahitaji majibu ya waziri. Ungehiaji maoni yangu kuhusu jf ningekwambia sina tatizo na JF na ikitokea mjadala ni mkali na unamasilahi kwa taifa au unarekebisha tabia au mwenendo hiyo ni kama kioo, kioo kikikutoa unatongotongo usikijunje bali kanawe kitakuonesha vizuri tu. Ni kweli kuna wanaoacha hoja na kwenda nje kwa sababu binafsi hao ndio wapime waone inatija hiyo?
 
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake
Kwa kuwepo hapa mkuu, utaweza kufafanua uzushi wa baadhi ya watu hapa JF. Kwani wapo wanaJF wanatumia jukwaa hili kwa sababu zao binafsi. Karibu sana mkuu!
 
Nashukuru sana
Nadhani Ndugu Mbunge sasa utakubaliana na JF kwamba ni zaidi ya Social network na ina watu makini, maana mimi nilikuwa ni mmoja wa tulioshika bango ili kusiwe na mis use ya jina la mtu na Nashukuru uongozi wa JF umekuverify kwamba wewe ndiye mwenyewe Halisi. Karibu sana.
 
Ofcoz kuna mambo mengi husemwa hapa na huwa ni ya kusingizia...ukiwachukulia serious watu unaweza kupasuka kichwa ama moyo kwa presha
Of course ukiwa kama Public leder ziko namna nyingi za kushiriki mijadala ya hapa na kujiepusha kuingizwa kwenye emotions za wengine na njia nyingine nzuri unaweza ukaanza kusoma topics kama guest then ukivutiwa kuchangia ndio unalog in.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom