Recent content by Wachu macheke

  1. W

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Mmesha nyonga wangapi mpaka sasa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Ningepata hasara gani kwa yeye kumwagia ndani
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    Ndoa ni utaperi
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    Ukimuuliza mimi napata nini kwenye hili penzi utasikia nimekuzalia watoto utafikiri watoto ni kitega uchumi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Unaongea kipolo kipi au mimi ndo sijaelewa
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Sasa nikiwa na40 nioe tena wa umri huo so atakuwa bibi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

    Kataa ndoa ni utaperi
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

    Nashangaa wewe umemla kimasihara
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

    Mwanamke anaweza kukukopesha hela ya kula yeye mwenyewe
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mjamzito je anaweza kufika kileleni

    Acha uzwazwa unafikiri kila mtu wa mkoani ana panda mabasi kama wewe?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Umefanana na nani katika familia yako?

    Nimefanana bibi wa baba mkwe afu mkwe sasa wa babu yake baba
  12. W

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa dini ya ki kristo ndugai ana mke mmoja huyo mwingine siyo wa kwake
  13. W

    JamiiForums Tanzania TBC ni aibu tupu

    Bora hata hizo kamera sisi huku ni mwendo wa giza umeme hakuna
  14. W

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Hata hivyo alikuwa anaongea na wajinga sio ninyi wenye akili
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

    Ungeuliza kwanza kwa doctor mwaka
Back
Top Bottom