Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 347
Bora hata hizo kamera sisi huku ni mwendo wa giza umeme hakuna
Imeisha Hiyo😂😂 Af warushe live kupitia TikTok maana Huwa Ina quality 😂
Ipo lkn ishakufa kwenye mindset ya watu 😂Kumbe TBC bado ipo
Ni kweliIpo lkn ishakufa kwenye mindset ya watu 😂
Mchawi maokotoLoh! HD ni 28,000 tu boss!!!
Bora huko TBC, huku azam sports1 leo wametuwekea mtangazaji wa redio atangaze mpira wa Tv.Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
Pole mdau .Mchawi maokoto