Mwanamke mjamzito je anaweza kufika kileleni

Mwanamke mjamzito je anaweza kufika kileleni

K
Kufika kileleni (orgasm) na kukojoa au mshindo (cuming) ni vitu viwili tofauti

Ndio mwanamke mjamito anaweza kufika mshindo na pia akafika kileleni

Mwanamke anaweza kukojoa au kufika mshindo na asifike kileleni
Pia anaweka akafika kileleni bila kukojoa, akaridhika tu

Kufika kileleni ni ile point of maximum content nakuridhika.

Bliss ni point ya kumfikisha pluto - point flan anacheka cheka kama chizi

Je una swali la ziada?
Kati ya hizi ipi ni njema sana kwa mwanamke.?

Bliss, kileleni?
 
Unashindwa vipi kuelewa maana ya orgasm compilation

Watu Kama hawa TAL ndo anawapambania hawajitambui wala hawawezi hata kutumia Simu zao kutafuta maarifa.
duuuh sasa mkuu si ndo kam ivi natumia simu kupata maarifa na mawazo yenu au unazngumzia google
 
Back
Top Bottom