shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
- Thread starter
- #21
Kumuongelesha kwa heshima, kumdinya vizuri is it too much ?Au sio!,
Kuna vitu labda uwe jobless ndio utakuwa na muda wa kufanya hayo yote kila siku.
Watu wanaondoka saa 11 alfajiri alafu, anarudi saa 5 usiku na bado afanye yote hayo?.