Recent content by wachanganya

  1. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Sina uhakika nahiyo sahihi ya jaffari hanimu kamaniyakwake au tunalishana matango pori humu hazifanani chunguzeni kwanza
  2. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Ninamtoto wangu anamiaka mitatatu aliugua degedege na kupona lakini sasahivi amekua akizimia kilabaada ya muda mfupi tatizo litakua nini
  3. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli:Nilimuoa Jini Nikamsaliti

    Kwanini mwandishi umeikatisha hii hadithi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Mwamposa (bulldozer) ametimiza hatua muhimu ya kupanda daraja

    Yesu alisema mapema kabisa wengi watakuja kwa misingi ya jina lake lakini hawatambui!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. wachanganya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

    Chadema imekwisha mwaka kesho 2020 huenda hata mbunge mmoja wakakosa
  6. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

    Roma empire ilinguka tiari ikachukuliwa na marekani na wingereza ndiyo watawala wa mwisho kabla mungu hajahukumu mfumo huu wa ibilis shetani
  7. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

    Kwani wamelazimishwa kukili kosa mbona shemeji yangu rugemalila kagoma
  8. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Upo wapi hapa kwetu tz
  9. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea huenda Mashahidi wa Yehova ikaja kuwa ndiyo dhehebu pekee la watu wastaarabu Afrika

    Hits ndiyo dining yakweli na yapekee hapa duniani
  10. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Wengi tutaanza kumuunga mkono Magufuli sio kwasababu ni bora sana' ila kwasababu kuna kundi linajiona hii nchi ni Mali ya familia yao

    Acha matusi wewe wasukuma wameingiaje hapo?wacha makufuri awanyooshe
  11. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Mh. Magufuli Nchi imemshinda. Hana tena pumzi

    Mtapata tabu Sana ngosha anawabatiza kwa moto safi Sana magufuri baba kaza mpaka mwisho.
  12. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

    Mollel kitabu kipo wapi the president and i
  13. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Toka nimeanza kuwa na uelewa mpaka leo nasikia kuwa 'Hizi ni siku za Mwisho'

    Bila kuwa na ujuzi sahihi juu ya mungu wa kweli na wapekee huwezi pata uzima wa milele wengi wanapotoshwa na udanganyifu wa mfumo huu wamambo mpaka kufikia kusema hakuna mungu hiyo ni kazi ya ibilisi shetani Wah
  14. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Toka nimeanza kuwa na uelewa mpaka leo nasikia kuwa 'Hizi ni siku za Mwisho'

    Wapumbavu husema hakuna mungu lakini mungu anajisibitisha kwa kazi zake nyingi na zilizo wazi kwa mfano wazia nyumba unayoishi ina mtu aliyechora ramani na kuijenga je ulimwengu wetu huu tunao kaa u nadhani ulijitokeza tu kwa bahati nzuri bila kuwepo mtu mwenyewe nguvu na akili kubwa ya kuufanya...
  15. wachanganya

    JamiiForums Tanzania Toka nimeanza kuwa na uelewa mpaka leo nasikia kuwa 'Hizi ni siku za Mwisho'

    Wenye dhihaka la zima waendelee kudhihaki mana yesu alisema kamailivyo kuwa katika siku zanuhu mpaka anaingia kwenye safina na malikia anafunga mlango ndiyo itakavyokuwa hata siku ile ya hukumu ya ulimwengu wote itatokea gafla
Back
Top Bottom