wachanganya
Member
- Aug 22, 2017
- 89
- 91
Kwanini mwandishi umeikatisha hii hadithiKwakweli sijapenda mwandishi uliposema kuwa Mzee Dumidunzi atampa Nargis kitu chenye uwezo robo ya Muumba. Hapana tena sema Astaghafirullah hakika uwezo wa Mungu hakuna kiumbe chenye uwezo wa kuufikia hata chembe ya mchanga wala nukta.
Sent using Jamii Forums mobile app