Recent content by waau

  1. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Operesheni Kamata Makahaba na wateja wao

    Katika viongozi mizigo tena mizigo kweli kweli na bongo zao hazifanyikazi ni pamoja na huyo waziri na mkuu wa mkoa wa Dar, unaanzaje kuwakamata makahaba wanao jitafutia fedha za kujikimu, je unakazi nyingine ambayo umeandaa wakafanye? Na je unajua nikazi ipi ambayo wataifanya baada ya kuwakataza...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Makosa: Sakata la kusimamisha watumishi kazi halina kichwa wala miguu! Imekuwa 'fashion'

    Afisa wa mikopo kusimamisha ni halali yake na kama mtu hajui hilo basi anamatatizo katika ubongo wake maana hali ya utoaji mikopo ni kwa mjuano tu maana watu wanaambatanisha vyeti vya kufiwa na wazazi wao wote wawili wakiashilia hawana uwezo lakini mikopo hawapewi na watu wenye kazi zao tena...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais: Watumishi wa Muhimbili waanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini

    Five years ya nn? We umurogwa ndugu yetu kila mtu anautashi wake wa kuongoza na je kama atakaye fuata akawa mzuri zaidi jpm unajuaje?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Masoud Masoud hasikiki, je yupo wapi?

    Hawezi kufanya kazi chini ya nape asiye jua anacho kisema na kuropoka hovyo!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Gazeti Mwananchi leo ni maudhi tupu

    Inasemaje wengine hatujaamka bado!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nchi ilikuwa imeoza yote, tumuombee Magufuli na Majaliwa waendelee kutumbua Majipu uchungu

    Itawajibishwaje serikali ya awamu ya nne wakati aliyekuwa amilijeshi mkuu amesha teuliwa kuwa mkuu wa chuo UDSM!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Huyo mama kwa nini hataji hiyo mamlaka ya juu iliyo mtumia sms ya kufunga mashine na walio mjulisha azifungue kabla ya majaliwa kufika offsini hapo ni wakinanani nao wanatakiwa kuwajibishwa na inamaana anataka jipu litumbuliwa kwake tu au?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sina raha na dunia hii tena

    Duu! jamaa ni chuo gani hicho upo maana ungekuwa kama upo M ungekuwa umesha Disco kitambo tu!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji kufungua kituo chake cha television na radio

    Habari njema hizo na hongela zake kwahilo alifikilialo kama atalifanikisha!
Back
Top Bottom