Mtangazaji Masoud Masoud hasikiki, je yupo wapi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Mtangazaji nguli wa radio Masoud Masoud simsikii TBC Taifa siku hizi na sijasikia yupo wapi. Je pana mwenye taarifa zake kwa sasa?
 
Kuna Baadhi Ya Wanabodi Wamechanganya
Masoud Masoud Yupo Tbc Taifa Kipindi Cha Jioni Na Wakina Jersey John.
Halafu Wanaosema Cloud Yule Ni Masoud Kipanya
 
Mtangazaji nguli wa radio Masoud Masoud simsikii TBC Taifa siku hizi na sijasikia yupo wapi. Je pana mwenye taarifa zake kwa sasa?
Yupo radio one na jana jioni alikuwa na kipindi sikuwa nimekisikia vizuri ila yupo.
 
Kuna uzi umefunguliwa humu ukizungumzia mhasibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani mwenye diploma. Critics wakaja na hoja kwamba iweje kwa mtu wa diploma asimamie watu wenye degree zao.

Namchukulia mtangazaji Masoud Masoud kama mmoja wa watu ambao ubora wa kazi zao unadhihirisha kwamba baadhi ya watu wanaweza kuwa hawana vyeti vya juu lakini wakafanya kazi zao kwa umahiri mkubwa kuliko hata wale walio na vyeti vya juu. Angalizo: sijasema elimu siyo muhimu.
 
Angalia cartoon ndo ujue yupo
yule wa cartoon na huyu ni watu wawili tofauti! yule wa cartoon ni ALI MASOUD - mchora vibonzo, huyu masoud masoud ni nguli wa historia ya muziki wa dansi na mwenyewe anajinasibu kuwa "hakuna mtu anaujua muziki wa dansi kuliko yeye, Africa mashariki yote" na maneno hayo aliyasema kwa salama wa MKASI!
 
Kuna uzi umefunguliwa humu ukizungumzia mhasibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani mwenye diploma. Critics wakaja na hoja kwamba iweje kwa mtu wa diploma asimamie watu wenye degree zao.

Namchukulia mtangazaji Masoud Masoud kama mmoja wa watu ambao ubora wa kazi zao unadhihirisha kwamba baadhi ya watu wanaweza kuwa hawana vyeti vya juu lakini wakafanya kazi zao kwa umahiri mkubwa kuliko hata wale walio na vyeti vya juu. Angalizo: sijasema elimu siyo muhimu.
hapo umeongea kimya kimya,elimu sio muhimu kivipi??
 
Back
Top Bottom