Gazeti Mwananchi leo ni maudhi tupu

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,518
6,505
Nasikitika siwezi nunua gazeti la leo Mwananchi 13/02/2016.

Inakuwaje heading kuu ina ukakasi vile, umenunuliwa nini!?

Nakiri mimi ni mwana ukawa sana tu lakini hata kama ni kukandamiza ukawa kwa vile mmenunuliwa basi fanyeni asti asti, sio mheading huo mkubwaaaa.

Huwa sikosagi kununua gazeti mwananchi ila kwa leo acha nilikose tu.
 
Magazeti ya tz bila kumtaja lowassa hayauziki

Sawa hata kama jina la Lowasa ndio mauzo ya gazeti lao lakini isiwe kwa udhalilishaji kama wa leo. Ona sasa mauzo ya hela yangu wameikosa, na usikute tupo wengi. Habari za kumtukana Lowasa wayaachie magazeti ya Uhuru na ya Shigongo wanaojikomba komba kwa utawala wa magamba
 
mwananchi ni gazeti lenye jina kubwa, lakini mara chache limekua likijisahau na kuandika heading kuu zilizokaa kishabiki
wahariri wake nawashauri wajitafakari vizuri wawe makini zaidi
 
Generally inasema Lowasa si chochote kwa Magu, huu ni udhalilishaji. Kwa nini wana compare, kama nia yao ni kumsifu Magu wangemsifu tu bila kumtaja Lowasa
......... Lowassa atasifiwa na Gazeti la 'MwanaHaramu' la Kubenea !
Kubenea na Lowassa.JPG
 
Kwangu mimi gazeti mwananchi lina heshima kubwa na wala siwezi lifananisha na mwanahalisi, ndio maana ni gazeti pekee ambalo mimi nanunua, ila kwa leo silitaki na hivyo leo sijasoma gazeti lolote, maana gazeti nilipendalo limegeuka gazeti la Uhuru
............. soma 'MwanaHaramu' la Kubenea !
 
Back
Top Bottom