real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mchekeshaji wa kikundi cha Orijino Komedi ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo chake cha radio na tv ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe.
Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM masanja amesema ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza namna ya kuendesha vituo hivyo.
Chanzo: bongo5.COM
Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM masanja amesema ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza namna ya kuendesha vituo hivyo.
Chanzo: bongo5.COM