kwa hiyo mnataka watu wakae kimya tu kwa haya yanayoendelea zenj?? Otherwise mtuambie mambo ya zanzibar hayatuhusu. Lakini ukawa wakikaa kimya itakuwa usaliti mkubwa,coz maalim seif alim-sacrifice hadi mwenyekiti wake mr. Lipumba kwa ajili ya ukawa. At this juncture ukawa hawawezi kusonga tu na...
mtu usichokijua daima kwako ni usiku wa giza. kilimo ni sector pana inaanzia kwenye makampuni-shambani-middle men-makampuni/wateja. hiyo ndiyo ciycle. kilimo ndicho kinazaa makampuni makubwa kama TBL,TCC, BAKHRESA na mengineyo. kwa nchi zetu za africa kilimo ndiyo biashara ya msingi yaani hata...
stupid! stupid! stupid! hata atembelee mara mia moja huko kenya haiwasaidii kwa lolote, hata ahamishie ofisi zake tanzania haitotusaidia kwa lolote. tuamke tuache kushabikia upuuzi wa wazungu.
Hizo findings za kina Maliyamkono zina kila sababu ya kutiliwa mashaka.....No doubt kwamba sisi wabara ndio tunawarudisha wazenj nyuma.Any way ngoja tukitafute kwanza hicho kitabu tukisome alafu tuoneee....
Hiyo game ni balaa....kama namuona liver kwenye fainali Roma.Manchester kapata mteremko,kila wakati huwa wanatengenezewa njia.Lakini hata wakivuka kwa Porto,the gunners wapo wanawesubiri
Hiyo geme ni balaaaaaaa........Liver atacheza fainali Roma.Manchester kapangiwa vibonde,huwa anatengenezewa njia kila mwaka.Lakini hata wakivuka kwa Porto.Washika bunduki wako wanawasubiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.