Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,601
Jokakuu, kwa ujumla una hoja nzuri kuhusu hili jambo na nakukubali kuwa mmoja wa watu makini hapa jamvini. Ila kwa kweli ulichemsha kwa kuchagua na kutumia vibaya maneno ya "Wakenya watupiga bao". Sijui kama unaliona hilo au umeamua kuwa mbishi tu kwa makusudi licha ya kuliona. It's all good though...