Masoud Kipanya is wrong about SUA

Masoud Kipanya is wrong about SUA

Tupo pamoja kwa maana ya kukubaliana na misingi ya asili mno-no research no right to speak!hiyo ni changamoto,tusome zaidi,tuwe natabia ya kuweka akiba ya maneno ambayo hayajakamilika,tuwe wavumilivu pia maana tukitafiti lazima tuulize,tujibiwe ,tudanganywe na kupotoshwa lakini tuchambue tuhoji na kukiwepo na la kutoa hewani tutoe tumeridhika lina mashiko.kwa mtizamo wa marketing na hasa branding jina sua ni tatizo-sokoine university siyo tatizo!
 
bwa ha ha ha watu naona hamjui mnachokiongea hapa.....hapa chini ni nafasi za kazi kaweka maxence kwenye jukwaa la ajira na job

Job Title: Senior Accountant

Requirements: Bachelor of commerce in accounting or advanced diploma backed with professional accounting qualification. CPA

Job Description:Review accounting data and financial input system information from programme areas and advice head of finance on measures to be taken to rectify or strengthen them

Apply To:
Country Director
Action Aid International Tanzania,
P.O. Box 21496,
Dar es Salaam

Email Applications:jobs.tz@actionaid.org

Closing Date: 29/Aug/2009

Job Title: Personal Bank

Requirements: Graduate in economics, commerce or any business related field

Job Description: Account opening

Apply To:
Head of Human Resources
KCB Tanzania

Email Applications: hr@tz.kcbankgroup.com

Job Title:Tellers - 2 Positions

Requirements: First degree in business related studies

Job Description: Attending customer at the counter quickly and give efficient and prompt service

Apply To:
Head of Human Resources
KCB Tanzania

Email Applications: hr@tz.kcbankgroup.com

Closing Date: 10/Aug/2009

Job Title: Bank Officers - 2 Positions

Requirements: First degree in business related studies

Job Description: Correct filing of charge vouchers

Apply To:
Head of Human Resources
KCB Tanzania

Email Applications: hr@tz.kcbankgroup.com

Closing Date: 10/Aug/2009

kwanini hawakuweka min requirement wa wanaomuihitaji awe mwenye degree ya mifugo au ubwana shamba SUA?
 
Nadhani Hii katuni ya msoudi tukiuchukulia kama ni challenge kwa wapanga mipango, waajiri na wapanga sera Itatusaidia sana. Kama serikali itakubali kuwa inatakiwa kutumia HR appropiately Tanzania tutasonga mbele. Hatuwezi kufanikiwa na kilimo kwanza kama pembejeo zitakuwa mikononi mwa walanguzi, hatuwezi kuendelea kusema kilimo ni uti wa mgongo kama vyuo vya kilimo vinafungwa, hatuwezi kusema wakuu wa wilaya ambao kutatokea njaa wilayani kwao wafutwe kazi wakati Lunch za taifa wanapewa akina Mzinda kaya bure na mil.500 juu.

Green revolution italetwa na wataalam wa kilimo. Kama tutawatumia vizuri hata maisha yatashuka ukali. Nchi zozote ambazo maisha ni rahisi hutokana na unafuu kwenye Accomodation na Chakula. Mbeya ni jiji nafuu kuliko majiji mengine Tanzania kwasababu Chakula ni karibu na bure!
 
So who should count other peoples' money? A graduate of BCom?
Banking is not about counting other peoples money ... there is more to banking

Which "more" that SUA graduates can do in banking sector other than working at counters as tellers?! Mind you,,, they are not trained to become bankers. Anyway, let me put it in a right way; banking is about handling other peoples' money, Period!. Need I say more?
 
bwa ha ha ha watu naona hamjui mnachokiongea hapa.....hapa chini ni nafasi za kazi kaweka maxence kwenye jukwaa la ajira na job

kwanini hawakuweka min requirement wa wanaomuihitaji awe mwenye degree ya mifugo au ubwana shamba SUA?

....crap!! You are missing the whole point, so what's your argument??? learn some facts for argument's sake....
 
Kosa la kipanya ni lipi?
Yeye ni msanii na anawakilisha mawazo yake. You have rights to accept or reject/ignore!
Mimi nakubaliana na baadhi kwamba inawezekana mtu wa SUA akaajiriwa benki, lakini katika position ipi? hapa ndipo kuna maswali!
Kuna ukweli usiopingika kwamba sasa hivi katika nchi yetu watu wanaajiliwa katika position yoyote regardless of his/her profesion kwa sababu ya shida za ajira na wingi wa kipato.
Kumbukeni kuwa kuna profesion ambazo malipo yake katika ajila yanalipa kichizi na hizi za kilimo hazina market kwa muono wa wengi na hivyo wanapunjwa kiasi hakuna atakaye kwenda huko.
Jambo la kujiuliza ni je serikali mbali ya kusomesha vijana katika profesions mbalimbali inawatayalishaje kukutana na challenges za ajira na kujiajiri?
 
Mkuu, haihitaji uelewa mkubwa sana kujua km SUA is not only udongo!!... Hebu fanya kautafiti kidogo kabla ya kurusha hoja kama hizi.
 
Naomba niwaulize wakuu, kukaa kaunta bank, kunahitaji degree ya aina gani? Je kuna chuo kinatoa degree ya kukaa kaunta bank? Inaeleweka kuwa kipanya ametoa ujumbe mzuri tu hata mimi nakubaliana nao, ila katumia mfano hafifu mno!! SUA kuna graduates ambao wanajua mambo ya banking vizuri tu (Agribusiness and agriculture economics). Hili halina tofauti na kuwakuta Vet graduates kutoka SUA kwenye MALARIA research projects, tena ndio wanaotafutwa zaidi,Do you know why??!!
 
bwa ha ha ha watu naona hamjui mnachokiongea hapa.....hapa chini ni nafasi za kazi kaweka maxence kwenye jukwaa la ajira na job

kwanini hawakuweka min requirement wa wanaomuihitaji awe mwenye degree ya mifugo au ubwana shamba SUA?

Any other business related field ndipo SUA wanapo-qualify kumbuka kuna agribusiness pale...
 
Kipanya amefanikiwa kufikisha ujumbe!!Big up mliona cartoon yake ya jana hbu tuijadili nayo pia maake ni challenge!!pia angalieni cartoon ya leo.Jamaa ananitisha.
 
mtu usichokijua daima kwako ni usiku wa giza. kilimo ni sector pana inaanzia kwenye makampuni-shambani-middle men-makampuni/wateja. hiyo ndiyo ciycle. kilimo ndicho kinazaa makampuni makubwa kama TBL,TCC, BAKHRESA na mengineyo. kwa nchi zetu za africa kilimo ndiyo biashara ya msingi yaani hata hayo mabenki bila kilimo hayataenda popote, hata hayo makampuni yasiyo ya kilimo bila kupanuka kwa sector hii nayo hayataenda popote. mwisho wa siku sector kama ya banking lazima itazame sana kilimo na namna ya kuintervene lazima iwe yenye akili. bila wataalamu wa kilimo kwenye institution kama hizo ni hatari kubwa. kwa hiyo masuud inawezekana hakuwa na maana mbaya lakini mfano wake haukuwa sahihi. mnaoushabikia hamna lolote zaidi ya kukosa uelewa........nakubaliana na yule aliyesema huenda hivi vitu ni complex sana kwenu.
 
yaani wewe ndio unazidi kuharibu kabisaaa...

ili tuwekana sawa nyie mabwana shamba wa SUA mnajua kazi za BANK? au financial sectors?

"MOROGORO-based University of Sokoine ranked fourth best university in East and Central Africa last year, Deputy Minister for Education and Vocational Training, Ms Mwantumu Mahiza told the National Assembly yesterday" Source:Daily News | SUA among best Africa's varsities
wewe nawe hueleweki.....hatuangalii credibility ya chuo.......tunaangalia mis alocation ya kinachotoka SUA kutotumiwa ipasavyo
 
kudadeki hawa jamaa wa SUA wameshikwa pabaya, ni bora ya hao wanauza nyago benki wengine unawakuta pride wanagawa alfu ishirini na tano kwa wajasiriamali.Kuna haja ya kuangalia upya relevance ya shahada za chuo hicho hawabebeki kabisaaaa.
 
wewe nawe hueleweki.....hatuangalii credibility ya chuo.......tunaangalia mis alocation ya kinachotoka SUA kutotumiwa ipasavyo

If you won't have a macro-economic approach at issue then you are just bluffing. Kumwona mtu akifanya kazi kaunta isiwe shida,ni mambo tu ya ajira ambayo kila mmoja wetu anaelewa jinsi yalivyo tight mjini hapa. Kile chuo kimewekwa pale kutokana na matakwa ya taifa na kinaserve nchi kulingana na priority zilivyobainishwa. Mimi sio kati ya alumni wao lakini jamaa nawakubali. "Kilimo Kwanza". Na tunapozungumzia kilimo tunaongelea kilimo katika upeo mpana zaidi ndio maana hawa jamaa ni multidisciplinary na wako "open to learn new things" and that's where they rock! Majority of them can work in a variety of settings: banking,ushirika,SACCOS,Research,Environment management, NGO,Education,IT,name it. Nimewahi kuajiri graduate mmoja ambae alisoma pale na nilimkubali sana. Acheni watu wafanye kazi popote,msiponde tu wakati hamtoi alternative. Mnataka wafanyeje sasa,wakae tu nyumbani? Kwakukubali kufanya kama teller ni kwamba jamaa wapo tayari kwa kazi sio kujifanya blazamen/sista duu wakati hela/kazi huna. Zama za kuchagua kazi zimeisha jamani. Something is better than nothing ...Big up ndugu zangu wa SUA!
 
Back
Top Bottom