Ubinafsi, Ubinafsi upweke, Ignorance tupu! Vijiwe live vinamanufaa sana unaweza hata ukagonga kikombe cha kahawa! Subirini tu na huo ukatili wenu wa kujifungia na simu zenu!
Serikali ipo kazini, haina muda wa kuhangaika na upuuzi huu. Alianza JK Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, J M Kikwete sasa JPM. Hongera TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea Bahati. Kama wa kukukeep busy na watu yote sawa. Kwanini uhangaike wakati god kaona huna uwezo wa kumiliki watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana uzi huu wa ajabu toka nijiunge JF. Hakuna taaluma ya mwisho duniani. Hivi waijua mihimili ya serikali zote duniani?? kwa taarifa yako judiciary ni muhimiili unaotafsiri sheria zilizotungwa na Bunge ili serikali itawale na kutoa huduma kwa watu wake, jaribu kujifunza kabla ya kuleta uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.