Recent content by wa mara

  1. wa mara

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Nimecheka changamoto ya kugoma kunywa wakati wa ongezeko LA bei
  2. wa mara

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

    Asee tutashuudia mengi
  3. wa mara

    JamiiForums Tanzania Fastjet mkiniona hata nakaribia ofisi zenu mnimwagie maji moto

    Maji moto IPO mkoa wa mara
  4. wa mara

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

    Kweli maana hivi vyerehani ni kelee mtaani eti ukiuliza kiwanda
  5. wa mara

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu sana huku mtaani jamani

    Twende na membe kazi na bata, na cyo kazi tuuu
  6. wa mara

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

    Nacheka sana hii kauli mbiu kazi na bata, na wabongo tunavyopenda starehe, bas twende na membe
  7. wa mara

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo kuogeshwa

    Umenikumbusha mbali sana mwaka 1992 Niko chekechea sister aliniuliza vilipo vidonda afu akasahau akasugua kidonda niligoma kuoga mpaka kesho yake
  8. wa mara

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo kuogeshwa

    Umenikumbusha mwaka 92 nipo chekechea maza sister aliniuliza hivyo afu akasahau akasugua palepale nililia sana na nikagoma kabisa kumalizia kuogeshwa
  9. wa mara

    JamiiForums Tanzania Ujumbe murua kabisa toka kwa Fatma karume

    ataree hakuna namna mana hatuna hasira wala ujasiri bora watutawale
  10. wa mara

    JamiiForums Tanzania Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    Hiyo akili hata darasa LA saba kama Mimi haiitaji kunyambua ni kutupilua mbali huo uzi
  11. wa mara

    JamiiForums Tanzania AU wakataa wazo la voluntary colonies cities..

    Cjawahi kuwaamini wazungu
  12. wa mara

    JamiiForums Tanzania Miili ya Wanajeshi watatu wa JWTZ waliofariki katika nchi za DR Congo na Afrika ya Kati kuagwa kesho

    Mungu azilaze roho zao mahali pema
  13. wa mara

    JamiiForums Tanzania RC TABORA INATOSHA HIZO CLIPS UNAENDA KUHARIBU WANAKUCHORA

    Kazi na dawa
  14. wa mara

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Nasikia huu mchezo ni wa kuigiza yaani huwa aanapanga, je ni kweli?
  15. wa mara

    JamiiForums Tanzania Diamond & WCB wanawasha taa ya njano kusuport usodoma

    Mkuu huyu ni msanii na mziki unakuwa na yy anaangalia soko cyo soko LA ndani na nnje pia so hata akiimba inabidi we ujizibiti na kizazi kinachokuzunguka cyo kila kitu umfuate
Back
Top Bottom