moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kama kuna mtu ana undugu na Magufuli jamani
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Kama kuna mtu ana undugu na Magufuli jamani
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Mnaokula kwa mama zenu mna tabu sana sisi watafutaji ndio tunajua ugumu wa hali ngumuMagia maji
Magufuli mwenyewe kakwama Benki ya dunia wamembania.jumuia ya ulaya pia mpaka Aache ubabe.sasa hivi anategemea huruma ya wachinaKama kuna mtu ana undugu na Magufuli jamani
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Wachina nao hawakawii kuchukua bandari[emoji23]Magufuli mwenyewe kakwama Benki ya dunia wamembania.jumuia ya ulaya pia mpaka Aache ubabe.sasa hivi anategemea huruma ya wachina
Tundu lisu voice[emoji23][emoji1241]Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea
Ndo manakeTundu lisu voice[emoji23][emoji1241]
Hali mbaya sana kitaa,biashara haziendi mkuu,fremu zipo empty kama zote.Kama kuna mtu ana undugu na Magufuli jamani
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Yeye ndo Chanzo cha Hali Ngumu?Kama kuna mtu ana undugu na Magufuli jamani
Muambieni Atuonee huruma japo sikuu tu
Watu wote Mnaokula nyumbani kwenu na msiopenda kujishughulisha na kujua ugumu wa kutafuta mwenyewe ndio huliza maswali kama hayaYeye ndo Chanzo cha Hali Ngumu?