Recent content by vsttz

  1. V

    Lowassa ataja sababu ya TB Joshua kutohudhuria sherehe za kuapishwa Rais Magufuli

    Wadau ebu nisaidieni EL anasema hatambui matokeo lkn kila anapotamka jina la Magufuli lazima aanze na neno RAIS
  2. V

    Rais Magufuli akipewa Uenyekiti, Prof Mwandosya ujiandae

    Problem ya Prof. Ni kuona wenzie wote wana kasoro hawana uwezo na yeye ndio mwenye akili sana
  3. V

    Picha: Kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika leo, Tulia Ackson alikuwepo

    Spika wa baraza la wawakilishi Zanzibar
  4. V

    Mbunge wa Bahi (CCM) ashikiliwa na polisi kwa kuomba rushwa

    Alex Mfungo huyu si yule aliyechukua rushwa ya bilioni moja kwa Subhash Patel(MM Integrated) na akaondolewa kwenye iyo nafasi? yaani amerudishwa tena kwenye nafasi ya ukuu wa uchunguzi? lazima hapa kuna jambo kati yake na Hosea....Majasho naomba ujibu swali langu
  5. V

    There shall be a day!

    .....na kwa vyovyote vile sintotoa SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI....
  6. V

    natafuta vw polo

    Piga namba hii 0658-939360 - Madam kigoda
  7. V

    Home Shopping Centre: How do they do business?

    uhusiano na ikulu wanao kupitia Riz1 na aliyekuwa CS Luhanjo..hawa jamaa wako kila sekta muhimu ya serikali, bunge, polisi n.k wanavibaraka wengi tu wanaofanya kazi zao, mfano mawaziri ni Sophia Simba, Mustafa mkulo, Abbas Mtemvu, Zungu, Idd Azzan na wengine wengi ukitaka kujua siri za...
  8. V

    Profesa Mark James Mwandosya hakula kiapo cha utii katika zoezi la kuapa mawaziri pale ikulu?

    ataapishwa peke yake, km ilivyokuwa kwa JK kipindi cha Mkapa alipoteuliwa mara ya kwanza kuwa W - NJ, alikuwa amefiwa wakati wa tukio la kuapishwa.
  9. V

    Mh Adam Kighoma Malima, hii ni promosheni au demotion?

    hii ndo TZ bwana kila mtu ana angalia vitu kwa mtizxamo wa ulaji tu badala ya kufikiria uzalendo...huu ndio mtizamo wa mtoa hoja sababu anaona kilimo hakuna deal.
  10. V

    Erring on the Side of Caution: Kikwete usiwaapishe mawaziri wasioapishwa kuwa wabunge kwanza!

    Mkuu, sikumbuki hii ya JK, lkn nakumbuka Mkapa alimteua Bgdr.Gen. Ngwilizi kuwa waziri wa TMSM akitokea kuwa RC wa Dar na alimwapisha kabla hajaingia Bungeni.
  11. V

    Sports Extra ya Clouds Fm

    bac mi ndo huwa najickia embarassed km mi ndo niliyesema...kingine ni jinsi wanavyojifanya wataalam na habari zao za kusoma kwenye net
  12. V

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Dada ya Asha Rose Migiro...
  13. V

    JOSE MOURINHO:CHELSEA NOT FOR CL's FINAL

    huyu jamaa anazimia sana spot light...anatakiwa ajipange sana la sivyo Bayern wanairusha timu yake.....
  14. V

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    KM - mamlaka yake ya nidhamu ni Rais au kwa maana nyingine ndiye aliyem-hire so Pinda hawezi kumwajibisha. kuhusu mamvi kumfukuza engineer wa wilaya ile ilikuwa ndani ya mamlaka yake kama waziri wa serikali za mitaa ikumbukwe kuwa wizara ya tamisemi iko chini ya waziri mkuu.
Back
Top Bottom