Tanzania 4 Life
Member
- Apr 30, 2012
- 21
- 7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JAKAYA MRISHO KIKWETE amewaapisha Mawazri wapya ambao aliwateua siku ya Ijumaaa katika Baraza Jipya la Mawaziri.
Miongoni mwa Mawaziri wapya yupo Mheshimiwa Pro.Mark Jame Mwandosya ambaye alkuwa waziri wa maji lakini safari hii amekuwa ni Waziri asiye kuwa na wizara maalumu katika ofisi ya Rais.
Je katika Sherehe za kula viapo hii leo pale Ikulu huyu Mheshimiwa alikuwepo na ameapa???? kwana last time ilisemekana yupo India ambako alirudi kuendelea kupata Matibabu.
Mwenye uwezo wa kuthibitisha tunaomba hapa!!