Ndugu waungwana naomba msaada kwa wenye ufahamu wa gharama za MASHINE ZA KUKOBOA MPUNGA, KUSAGA MAHINDI,KUFUNGA MIFUKO BAADA YA KUPAKI BIDHAA KAMA MPUNGA AU UNGA,lakini pia naomba kufahamishwa kiwanda kinachojihusisha na uzalishaji wa mifuko ya vifungashio na kuprint chapa unayotaka.
Pia naomba...
Wanajamvi naomba msaada,
Nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza viungo vya chakula kama vya pilau, mboga na chai nk, kiukweli vitu hivyo sina ufahamu navyo sana though najua viko vingi so naomba kujua wapi tavipata kwa bei ya jumla.
Asanteni.
Umeeleza vizuri ingawa kuna baadhi ya maelezo hujayaweka bayani ambayo yangeweza kusaidia kujibu maelezo yako.
1-tunaomba maelezo aliyoyatoa Afisa wa mipango miji ILALA Juu ya hulalali wa m/mtaa kujihusisha na uuzaji wa ardhi.
2-tueleze RC alisisitiza nini baada ya kuamuru m/kiti achukuliwe...
Habar wana jamvi,tafadhalini naombeni msaada wenu wa namna barua ya kusimamisha kampuni kwa muda katika kuendelea kutoa huduma ili niepeleke TRA,kikubwa .nielezeeni vitu muhimu vinavyotakiwa katika barua/email.
Asanten
poleni na pilika pilika za hapa na pale,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa kwenye nyimbo hizo za KINYAMWEZI kutoka kwa muimbaji MWINAMILA kutoka tabora,
nawasilisha Msaada it afadhali.
kikubwa ndugu Kama uko na muda nakushauri nenda ktk ofisi zao uonane na loan officer Wa bank husika wao watakupatia mchanganuo Wa kutosha km loan processing fee, insurance cost na mengine.
Jambo jema but naamini ikiwa surprise itapendeza Zaidi anyway nashukuru kwa ushauri,je? Vipi waweza kuwa na uzoefu na Zanzibar maana 85% ya moyo kwangu inatamani kwenda huko .
Poleni na majukumu ndugu zangu
Samahani naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie kujua sehemu nzuri yenye gharama nafuu kwa ajili ya honeymoon. Kwa upande wangu nilikuwa napendelea sana sehemu zifuatazo:- Zanzibar, Historical sites na baadhi ya National Parks kama Saadan na Saanane.
Please kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.