Natafuta sehemu nzuri kwa ajili ya Honeymoon

Natafuta sehemu nzuri kwa ajili ya Honeymoon

Nenda bagamoyo utaenjoy
Mazingira bora zaidi ya Zanzibar
 
Sehemu bora, Nafuu na Salama kabisa kwa Honeymoon ni NYUMBANI KWAKO.
Ni raha na Furaha kubwa sana kuanza maisha ya ndoa nyumbani kwako. It is real.
Kwenda huko kwenye Mahoteli, mbuga, Kusafiri huwa kunakujaga baadaye tena mkiwa mmetulia vizuri katika maisha ya ndoa.

Ila kama mlikuwa mnachakachuana kabla ya ndoa au kuishi pamoja kabla ya ndoa, basi it is meaningless kufanya Honeymoon. Inakuwa ni maigizo matupu.
Mambo ya kuiga, fashion nk. katika ndoa ni vitu vya kupita tu na vina gharama, kero na usumbufu wake

Kwa wenye Hekima watanielewa vizuri.
 
Unayempeleka honeymoon umemkuta bikra au unaenda kutafuna big G iliyokwisha tafunwa kwa gharama kubwa! C bora hiyo ela ukajengea au ukaanzisha mradi wenye maana na utakaokusaidia kuliko kumpeleka mchumba wa mtu uliyempola
mmh mkuu kwenye bikra hapo naona utazua utata mwache kijana aende honeymoon
 
Jambo jema but naamini ikiwa surprise itapendeza Zaidi anyway nashukuru kwa ushauri,je? Vipi waweza kuwa na uzoefu na Zanzibar maana 85% ya moyo kwangu inatamani kwenda huko .
Naungana pia na wazo lakola kwenda zanz, zanzibar hotel around the beach is awesome. Mine was there and we had a great time. Kwa hiyo budget ili upate hotel nzuri ya beach ongeza kidogo best ili walau mkitoka msishindwe kununua hata dafu...naamini hata mwenzio atafurahia kwa zanz.
 
Poleni na majukumu ndugu zangu

Samahani naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie kujua sehemu nzuri yenye gharama nafuu kwa ajili ya honeymoon. Kwa upande wangu nilikuwa napendelea sana sehemu zifuatazo:- Zanzibar, Historical sites na baadhi ya National Parks kama Saadan na Saanane.

Please kwa anaefahamu msaada please!
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA NIKUSHAURI MKUU.
 
mkuu honeymoon inategemea na aina ya ndoa kama mliwahi kuishi before and now mmebariki ndoa ni vizuri kutafuta sehemu kma hoel au mbuga za wanyama au baharini hiv ili mjisikie upya tena ila kama ndo mara ya kwanza mnaanza kuishi ni vizuri kufanyia nyumbani kwako

nikija kwenye shida ya ushauri uutakao nenda saadani hutojuta
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Unayempeleka honeymoon umemkuta bikra au unaenda kutafuna big G iliyokwisha tafunwa kwa gharama kubwa! C bora hiyo ela ukajengea au ukaanzisha mradi wenye maana na utakaokusaidia kuliko kumpeleka mchumba wa mtu uliyempola
Ulishatahiriwa???
 
Back
Top Bottom