Natafuta sehemu nzuri kwa ajili ya Honeymoon

Natafuta sehemu nzuri kwa ajili ya Honeymoon

Ni vizuri kufanyia honney moon yako Syria coz itadetermine kiwango cha mpenzi yenu ukisikia AK 47 inanguruma then demu wako akiwa pembeni ndio utapojua real love
 
Njoo huku kwa mbiku mbagala kuna chimbo linaitwa naunambe kwa mama chipula ni patam balaa kitu cha kongolo la moto, miguu ya kuku, nyama ya kasa na machoba
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Njoo Nyanchenche.Kuna mandhari nzuri,hali ya hewa safi na ufaidi mengine mengi kwa gharama nafuu.Karibu!
 
Yaani badala ya kuchagua sehemu zilizo kimya, hakuna polutlion wala watu wengi na distructions unachagua mahali penye watu wengi. Nenda penye Eco tourism huko watu wachache au nenda kwangu nyumba ipo kijijini, ina kila kitu self contained, jiko la gas, umeme upo ila usichohitaji ni Tv na sina. Utalipia chakula na maji basi. Sisemi wapi mpaka ukubali. Kule kuna ndege tu na walevi kupita wakati wa jioni ila kuna gate na halafu ukiwa ndani kusikia ya nje shida. hahahahaha.
 
Asante kwa ushauri maana najua umetafakari nakuamini utanifaa
 
Unayempeleka honeymoon umemkuta bikra au unaenda kutafuna big G iliyokwisha tafunwa kwa gharama kubwa! C bora hiyo ela ukajengea au ukaanzisha mradi wenye maana na utakaokusaidia kuliko kumpeleka mchumba wa mtu uliyempola
Asante kwa ulicho nishauri maana najua 'MWISHO WA BUSARA MWANZO WA UJINGA'
 
Inategemea wewe na mwenzio mnapenda nini zaidi kama historical sites na beach nendeni zanzibar, kama ni national park na unataka ya karibu na Dar nenda saadani au mikumi.
Jambo jema but naamini ikiwa surprise itapendeza Zaidi anyway nashukuru kwa ushauri,je? Vipi waweza kuwa na uzoefu na Zanzibar maana 85% ya moyo kwangu inatamani kwenda huko .
 
Nenda Chato kwa panga boi inayozinduliwa kesho na sijaribiwi.
 
Mkuu kama hutajali nenda Bandarini tu, hamna makontena yaani kweupeeeee kwa raha zenu!!!
 
Mkuu kama hutajali nenda Bandarini tu, hamna makontena yaani kweupeeeee kwa raha zenu!!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom